Jambo wakuu, jioni hii hapa Mwanza tumeshudia matangazo mitaani ya mwaliko wa mkutano wa chama cha ACT kesho ktk viwanja vya shule ya msingi mbugani miongoni mwa wageni wakitaifa ni pamoja na katibu mkuu taifa Samsoni Mwigamba kwa mujibu wa matangazo
Hawa walikula hela ya ccm ili watumike kuua chadema. Baada ya kufukuzwa ccm bado wanawataka watimize maana pesa walishakula. Sasa nadhani option waliyopewa ni kuanzisha chama ili kujaribu kuigawa chadema!
Kimsingi mission ni kujaribu kuigawa chadema ili ccm wapate ahuweni 2015! kwenye waraka wa siri walikuwa wakidai kuwa watu wao hawana hela na hata kazi watafutie japo 2mil ya kujikimu iweje leo hii wamepata pesa ya kuanzisha chama na kutangaza chama mikoani. Yote haya yanafadhiriwa na ccm hivyo hamna tofauti ya kuwa Lumumba na kuwa ACT=Alliance of Chadema Traitors!