Kumbe Mwigamba ndie Katibu mkuu (taifa) ACT!

Hiyo ni ccm na Samsoni Nwigamba na wenzie kina zitto ni vibaraka, wala hakuna jipya, hongera zao, watavuna walichokipanda.
 
Hahahahaaaa.... ndo maana tulimtandika ngumi na kumtimua Mkulima maskini.
Teh teh teh!!!, eti masikini mkulima, sasa huko ATC wamekutana wasaliti wote, sijui nani atawawahi kuwasaliti wenzie, maanake dhambi ya usaliti haitawaacha, itaendelea kuwatafuna.
 
chadema usipokuwa mchaga na mkaskazin unaitwa msaliti kazi ipo
 
Teh teh teh!!!, eti masikini mkulima, sasa huko ATC wamekutana wasaliti wote, sijui nani atawawahi kuwasaliti wenzie, maanake dhambi ya usaliti haitawaacha, itaendelea kuwatafuna.

wasaliti ni mbowe na slaa waliotelekeza wake na watoto wao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom