Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,423
WanaMwanza sio wajinga, naamini watawapuuza.leo wamezindua tawi lao la igoma wakiwa kumi tu na bwana mwigamba kuongea kisukuma ili apate huruma yao.
WanaMwanza sio wajinga, naamini watawapuuza.leo wamezindua tawi lao la igoma wakiwa kumi tu na bwana mwigamba kuongea kisukuma ili apate huruma yao.
Prof.Safari, Mohd Mtoi,Makamu Mwenyekiti Zanzibar,Chiku Abwao,Ali Bananga,Mh.Abama,na mamilioni kwa mamilioni.AMNUT ACT ndo inayosilimisha watukwa sababu chadema hakuna waislamu.
Prof.Safari, Mohd Mtoi,Makamu Mwenyekiti Zanzibar,Chiku Abwao,Ali Bananga,Mh.Abama,na mamilioni kwa mamilioni.AMNUT ACT ndo inayosilimisha watu
nasikia hawa wote wamebatizwa ndio maana hawafukuzwi
kumbe naongea na shoga linalo-post huku linatiwa,nitaku**mba mimi acha kunifata fata
mwenyekiti ni zitto kabwe,wanachama wengi ni waha wa kigoma na waislamujambo wakuu, jioni hii hapa mwanza tumeshudia matangazo mitaani ya mwaliko wa mkutano wa chama cha act kesho ktk viwanja vya shule ya msingi mbugani miongoni mwa wageni wakitaifa ni pamoja na katibu mkuu taifa samsoni mwigamba kwa mujibu wa matangazo
mwenyekiti ni zitto kabwe,wanachama wengi ni waha wa kigoma na waislamu
WanaMwanza sio wajinga, naamini watawapuuza.
mwenyekiti ni zitto kabwe,wanachama wengi ni waha wa kigoma na waislamu
ndicho kilichotokea walikuwa wakitoa salamu yao wengi walijibu chadema daima na kuonesha vidole viwili.
mkuu nadhani huu ni mda wa kuwasiliana na mashekhe kuhakikisha mkutano unajaa watu, kina Matata, Chagulani waanze sasa kusomba watu kutoa interior, time is up
Hiki chama kimekuwa mwiba kwa Chadema sijui kwa nini.
kama mapadri na wachungaji wanavyotangaza kanisani mikutano ya chadema
Kuna nini huko mkuu?, kama umetembelea huko hebu nifafanulie kidogo.
nasikia hawa wote wamebatizwa ndio maana hawafukuzwi
mkuu. ACT lazima imng'oe mwehu lema jimbo la arusha mjini. wana arusha wamechoka na siasa za vurugu