Kumbe MwanaHaki wa JF alishafariki?

Kumbe MwanaHaki wa JF alishafariki?

Kiukweli kwa akina siye tunaoshinda siasani! Ni bonge la mshtuko! Pumzika kwa amani MwanaHaki ... inawezekana mods wanamfahamu lakini wameona wasiweke wazi identity yake ....
 
Ha umenikumbusha maiti basha... Hii maiti haikuwa na ndugu ilikaa mochwari mpaka tukawapa manispaa waizike.. Ilikuwa ukiiweka na maiti zingine unaikuta tayari iko mgongoni mwa mtu.. Hafu ilikuwa haioni haya
 
Stori za kusadikika
 
Back
Top Bottom