Kumbe MwanaHaki wa JF alishafariki?

Kumbe MwanaHaki wa JF alishafariki?

BABU HAPO ULIPOMTAJA DOTTO NDO UMENIHUZUNISHA SANA ALIKUWA RAFIKI WA KARIBU SANA HUYU YAANI NIMELIA SANA HAPA DUUUU JAMANI

WAPUMZIKE KWA AMANI WOTE WANA-JF WALIOTUTANGULIA ILA INALETA PAIN SANA
Pole sana. Alikuwa gentleman sana... ajali ikayachukua maisha yake ghafla!

RIP Dotto
 
Wapumzike kwa amani
Regia Mrema
Dena Amsi
Chetuntu
Dotto
Ibra87

Na wanaJF wengine wote waliotutangulia
He Ibra 87 naye alifariki, jamani may his soul Rest In Peace. Si alikuwa Kigamboni kama sikosei!
 
Siku nikifa sidhani hata kuna atayejua maana hakuna alijuaye jina langu.

Watu watasubiri kusikia Julius Magembe.

Watasubiri embe chini ya mwarobaini!
 
Kiukweli nikiona Id imeandikwa RIP huwa machozi yananitoka na kufikiria mbali sana.

Roho fulani hivi huwa inanijia.

Mungu uwape raha ya milele member wote waliofariki lakini hatukupata taarifa.
Nilikuwa sijui, kumbe I'd ya RIP sio mwenzetu!!, umenifumbua macho
 
kuna umuhimu wa rafiki yako moja kufahamu ID yako ya JF,hata siku ukizima atoe taarifa kwa wana JF
 
Back
Top Bottom