Kumbe MwanaHaki wa JF alishafariki?

Kumbe MwanaHaki wa JF alishafariki?

Members wengi hapa pamoja na kutumia ID fake lakini wanafahamiana physically. Kama hapa huna anayekufahamu nje ya ID ya JF then ukifa unapotea kimyakimya...
Mimi nikifa nitapotea kimya kimya hakuna anayenifahamu
 
Ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha maiti basha... Hii maiti haikuwa na ndugu ilikaa mochwari mpaka tukawapa manispaa waizike.. Ilikuwa ukiiweka na maiti zingine unaikuta tayari iko mgongoni mwa mtu.. Hafu ilikuwa haioni haya
Yerewiiiiii huyo atakuwa mpemba au??
 
Ni vigumu cos uku usiri ni mkubwa watu had jinsia wanadanganya [HASHTAG]#rip[/HASHTAG]
 
Unapaswa uwe na ID mbili kama mimi. Moja ya kusoshalaiz na nyingine ya kufanyia undava kule jukwaa la matusi
Asante sana babu nafanyia kazi ushauri wako nitafungua ID mpya tena ni verified user
 
sifa za kijinga
Ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha maiti basha... Hii maiti haikuwa na ndugu ilikaa mochwari mpaka tukawapa manispaa waizike.. Ilikuwa ukiiweka na maiti zingine unaikuta tayari iko mgongoni mwa mtu.. Hafu ilikuwa haioni haya
 
Duh!!Inauma sana kuona watu mnaobadilishana nao mawazo humu hatuko nao tena!
R.I.P MEMBERS mliotutangulia
 
Wapumzike kwa amani
Regia Mrema
Dena Amsi
Chetuntu
Dotto
Ibra87

Na wanaJF wengine wote waliotutangulia
BABU HAPO ULIPOMTAJA DOTTO NDO UMENIHUZUNISHA SANA ALIKUWA RAFIKI WA KARIBU SANA HUYU YAANI NIMELIA SANA HAPA DUUUU JAMANI

WAPUMZIKE KWA AMANI WOTE WANA-JF WALIOTUTANGULIA ILA INALETA PAIN SANA
 
Back
Top Bottom