Kumbe MwanaHaki wa JF alishafariki?

Kumbe MwanaHaki wa JF alishafariki?

jumamosi nakuja huko tukunywe lubisi wote
Juzi nilienda mochware kuchukua mwili wa marehemu baba mkwe wangu... nikakuta kwenye kabati moja jamaa kaweka maiti mbili... nikajikuta nakukumbuka kimoyomoyo.

Hivi mochware maiti za Ke na Me zinazwekwa sehemu tofauti? Kwanini?

Hata usiponijibu poa tu. Kwanza utakuwa umenisaidia sana
 
Ha umenikumbusha maiti basha... Hii maiti haikuwa na ndugu ilikaa mochwari mpaka tukawapa manispaa waizike.. Ilikuwa ukiiweka na maiti zingine unaikuta tayari iko mgongoni mwa mtu.. Hafu ilikuwa haioni haya
 
Hii fix haijanibariki....
 
Back
Top Bottom