Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,436
Wafilipi : Mlango 1Amina mkuu.Siku nikiondoka sijui nani atajua humu jf.Lakini yote ni mema Mungu anisaidie niimalize safari nikiwa Niko ubavuni mwake.Yaani nife nikimcha Bwana maana kwangu ni faida.
21 Kwa maana kwangu mimi kuishi ni Kristo, na kufa ni faida.
