Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,273
- 96,400
Members wengi hapa pamoja na kutumia ID fake lakini wanafahamiana physically. Kama hapa huna anayekufahamu nje ya ID ya JF then ukifa unapotea kimyakimya...How would you know if I die????
Members wengi hapa pamoja na kutumia ID fake lakini wanafahamiana physically. Kama hapa huna anayekufahamu nje ya ID ya JF then ukifa unapotea kimyakimya...How would you know if I die????
AmenMwenyezi Mungu ampunzishe kwa Amani Member mwenzetu.
AmenWapumzike kwa amani
Regia Mrema
Dena Amsi
Chetuntu
Dotto
Ibra87
Na wanaJF wengine wote waliotutangulia
Upendo ni pamoja na kutonyimana...Apumzike kwa amani. Wengine tujifunze kuishi kwa upendo kila mmoja wetu ili siku ikifika twende safari bila vinyongo
Nimeshamjua...Apumzike kwa amani, ila kuna mtu mmoja hapa nchini akifa aisee ntaruka kwa furaha
Upendo ni pamoja na kutonyimana...





. Babu hii post ya majonzi na kutafakari nyendo zetu.Ukifa kabla yake? Napo utaruka kwa furaha? Unadhani kifo ni bahati mbaya? Ni pito la kila mmoja na usifurahi akifa mwenzio maana hata wewe siku yako yaja!!Apumzike kwa amani, ila kuna mtu mmoja hapa nchini akifa aisee ntaruka kwa furaha
Tatizo akili zako zimehamia kwingine kabisa.... Babu hii post ya majonzi na kutafakari nyendo zetu.
Hahahahahhaa. Kweli we babu. Umeniuzia kesiTatizo akili zako zimehamia kwingine kabisa...
Nilimaanisha upendo ni pamoja na kutonyimana maarifa, ujuzi, elimu, misaada, mikopo nk.
Mungu akusamehe kwa mawazo yako hasi
Amiin Insha Allah.Ina lillahi waina ilaihi rajioon.
Sisi ni wa mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
Amina mkuu.Siku nikiondoka sijui nani atajua humu jf.Lakini yote ni mema Mungu anisaidie niimalize safari nikiwa Niko ubavuni mwake.Yaani nife nikimcha Bwana maana kwangu ni faida.Heri wafu wafao katika BWANA