Kumbe MwanaHaki wa JF alishafariki?

Kumbe MwanaHaki wa JF alishafariki?

Soldier, rest! thy warfare o'er,
Sleep the sleep that knows not breaking;
Dream of battled fields no more,
Days of danger, nights of waking
 
Hiyo account ya ibra87 kuna mtu anaendelea kuitumia ama ni ubongo wangu ulivurugwa mana nahisi jana niliona hiyo account ikiwa online,nilishtuka kidogo ila cjataka kuwazua sana nikapita tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu hakipo sawa mahali. Mimi nineikuta na dot ya kijani lakini nikaambiwa ni kawaida ktk app huonekana hivyo. Lakini mbona mwingine asipokuwepo online hiyo dot haionekani.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Yaani hapa JF, japokuwa tunatumia ID fake ila kuna umuhimu wa kutambuana hata watu wawili wawili inatosha.

Kiukweli pia ni ngumu kuaminiana pia, maana huwezijua yupi mwema na yupi mbaya! Hapa ndipo pagumu.
(Unaweza kuweka urafiki na mtu wa Boko Haram au Alshabab wa Tz)

Naamini kuna watu, tunawapoteza bila hata kujua.

Mungu awaweke mahala wanapostahili.
Ukiweka true ID unakufa, bora tukife watuzike na simu zetu tuendelee kuchat JF hadi kaburini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Members wengi hapa pamoja na kutumia ID fake lakini wanafahamiana physically. Kama hapa huna anayekufahamu nje ya ID ya JF then ukifa unapotea kimyakimya...

Binafsi sifahamiani na member yeyote humu jamvini, ina maana siku Nikifa nitapotea tu kama mbwa!!!!
 
Ile ID ya Ibra inatumika, Asubuhi ilikuwa active. Dot ya kijani ilikuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana. Kwa mfano sasa hivi ni saa 1:04 PM jumapili tarehe 6.01.2019 hii id yako haina dot maana yake hauko online.
Kuna kitu hakipo sawa ktk ile ID.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Back
Top Bottom