Kumbe mpenzi wangu anajiuza

Kumbe mpenzi wangu anajiuza

DJ
NIPE WIMBO WA

KUCHAPIWA N SIRI YA NDAN MASKINI ROHOYANGU MM

HAHAHAHA HAWA 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂
 
😆 😂 😆 😂 😆 familiaaa mpooo
 

Attachments

  • Screenshot_20260720_201137_Lite.jpg
    Screenshot_20260720_201137_Lite.jpg
    151.8 KB · Views: 4
.
 

Attachments

  • 7541D8DA-D0C6-4E40-A945-60B247718BDD.jpeg
    7541D8DA-D0C6-4E40-A945-60B247718BDD.jpeg
    39.4 KB · Views: 4
Nilitoka mkoa wa Dodoma nikiwa naelekea Songea kwenye makaa nilipofika mkoa wa iringa nikasema ngoja nipoe kimtindo maana ilikuwa usiku kutokana na baridi ya pale Mafinga nikamwambomba "boda" alie nitafutia geust anitafutie na mtoto mzuri, maana si unajua ugeni.

kweli jamaa akawa ameniacha geust nilipofikia sikujua alipokwenda nitafutia huyo mrembo, kutokana na kupenda mitungi nikawa nimetoka pale geust na kuacha maagizo kwa muhudumu,

Baada ya muda kidogo yule bodaboda akanipigia simu tayari amempata nikamwambia maagizo nimeacha kwa muhudumu, sikukawia nikawa nimerudi pale geust muhudumu akaniambia tayari mgeni wako yupo chumbani

Ile nafika chumbani nakuta mpenzi wangu ambae alinidanganya anaenda kwa wazazi wake!!

hapo wewe ungefanyaje?
Kama ni mpenzi tu na siyo mke unapiga pipe fresh tu kana kwamba hakijatokea kitu ila baada ya hapo unamuweka pembeni na kuangalia afya yako kama hajakuunganisha kwenye grid ya Taifa.
 
Back
Top Bottom