Kumbe Mosul ndio ile Ninawi/Nineveh ya Yonah

Mzuka Wanajamvi!

Kama mnavyojua vita kali inaendelea huko Iraq kuwaondoa wahuni wa ISIS Mosul. Lakini jambo la kufurahisha nimekuja kugundua huu mji wa Mosul ndio hule Yona alitumwa Na Mungu kupeleka neno akala kona na kuingia chaka. Ikabidi atupwe baharin Na kumezwa Na nyangumi. Nadhan story mnahifaham.

Kumbe pia Ayubu ama Job alikuwa MuOmani ama Myemeni kaburi lake hadileo liko kati ya Yemen Na Oman.

Kumbe Pilato alikuwa Mfaransa (Gaul) ambalo lilikuwa jimbo la Kirumi.

Wale mamajus waliompelekea mwokoz wetu zawad walikuwa wakurd maeneo ya Tikrit Iraq.

Sodoma Na gomorrah ilikuwa ndio Syria.

Jezebel alikuwa mlebanoni (Phoenician) kutoka mji wa Sidon ambapo Sasa hivi Hezbollah wamejikita.

Mke wa musa Zipporah alikuwa Muafrika kutoka Ethiopia.

Nilikuwa najiuliza uislam ulifikaje hizi nchi Malasyia, Indonesia Na Brunei kumbe ni Otoman waturuki waliufikisha huko Ata mji wa Aceh ni kituruki.
Alaa!!! Kumbe?!!
 
ila allepo ni diehard,ule mji bado umesimama,huwezi kuupukutisha chini bila nuclear,ni mji mkubwa sana,west allepo walipo askari wa serikali bado kuna magorofa yapo wima.
Sodom na gomora mie hudhani ni tel aviv ngoja ntarudia kureseach
Few cities can match the glory of Aleppo, Syria, a city that spans Jewish history from the days of King David over 3,000 years ago. Aristocratic and noble, Aleppo was the crown of Jewish splendor in the Sephardic world.

The Jewish presence in Syria dates back to Biblical times and is intertwined with the history and politics of Jerusalem. According to the book of Samuel and Psalm 60, Aram Soba, the Biblical name for Aleppo, was part of the extended area of Israel. Throughout the millennia, great Talmudic sages record Aleppo’s unbroken record of communal peace and spiritual productivity. Early Jewish travelers to the area included Benjamin of Tudela in 1173, Sadai Gaon in 921, and Rabbi Petachya of Germany in 1170-80.

"It is hoary Aleppo legend, both Jewish and Muslim, that the patriarch Abraham had settled for a period in Aleppo

"I t is hoary Aleppo legend, both Jewish and Muslim, that the patriarch Abraham had settled for a period in Aleppo in his wanderings from his native Ur. He is believed to have milked his cows there. Halab , the Arabic name for Aleppo, is the Aramaic, Hebrew, and Arabic for 'milked.' "
According to "the patriarchs Abraham and Isaac spent part of their lives in what is now Syria. During and after the late Biblical period, and until the late 19th Century, Syria and Eretz Israel were often territories of the same superpower and were sometimes considered a single entity. The Talmudic Sages ruled that some of the religious laws that pertain only to the land of Israel (chiefly in the realm of agriculture) apply to Syria as well."

The foundation for the Great Synagogue in Aleppo is believed to have been constructed by King David's General, Joab ben Seruya (circa 950 BCE), after his conquest of the city (2 Sam 8:3-8); it is still sometimes referred to as Joab's Synagogue. The architecture of the synagogue was heavily influenced by the designs of Muslim mosques. For example, the ark of the synagogue is an exact copy of a mosque’s mihrab.
 
Hiyo ni kweli kabisa,tena pale Bahi na Zuzu ndio ilikuwa kitovu cha Adam na Eva kurubuniwa na shetani,ndio maana ni jangwa mkuu,nafikiri kitabu nilichonacho mimi,hata wewe unacho,ubarikiwe kwa jina la Yesu wa Nazareth,ameeeeeen.
Embu acheni porojo zenu bwana
 
Historia inavyo andikwa na wazungu sio historia kamili

ndo maana wanasema Livingstone aligundua Ziwa Tanganyika
Mkuu The Boss,nakukubali sana tena sana,una uelewa mkubwa kuhusu historia na general knowledge,sababu mara zote wewe huchangia kwa hekima bila kukurupuka tena hubainisha mambo yalivyo kuwa na yalivyo sasa,hasa maswali yako yenye mitego ya ufahamishi bila jazba,ubarikiwe mkuu,tunahitaji memba kama wewe all the time bro,,.,.,...INTERESTING...
 
Mzuka Wanajamvi!

Kama mnavyojua vita kali inaendelea huko Iraq kuwaondoa wahuni wa ISIS Mosul. Lakini jambo la kufurahisha nimekuja kugundua huu mji wa Mosul ndio hule Yona alitumwa Na Mungu kupeleka neno akala kona na kuingia chaka. Ikabidi atupwe baharin Na kumezwa Na nyangumi. Nadhan story mnahifaham.

Kumbe pia Ayubu ama Job alikuwa MuOmani ama Myemeni kaburi lake hadileo liko kati ya Yemen Na Oman.

Kumbe Pilato alikuwa Mfaransa (Gaul) ambalo lilikuwa jimbo la Kirumi.

Wale mamajus waliompelekea mwokoz wetu zawad walikuwa wakurd maeneo ya Tikrit Iraq.

Sodoma Na gomorrah ilikuwa ndio Syria.

Jezebel alikuwa mlebanoni (Phoenician) kutoka mji wa Sidon ambapo Sasa hivi Hezbollah wamejikita.

Mke wa musa Zipporah alikuwa Muafrika kutoka Ethiopia.

Nilikuwa najiuliza uislam ulifikaje hizi nchi Malasyia, Indonesia Na Brunei kumbe ni Otoman waturuki waliufikisha huko Ata mji wa Aceh ni kituruki.
Afu ukiwambia tigolization imeanzia uarabuni hao ndo walikubuhu hata b4 Christ!! Watu wa upanga wanakua wakal kuwa tupia lawama wazungu
 
Wacha porojo zako
 
Afu ukiwambia tigolization imeanzia uarabuni hao ndo walikubuhu hata b4 Christ!! Watu wa upanga wanakua wakal kuwa tupia lawama wazungu
Waarabu hata sas hivi ushoga upo kwa sana tu .. Hasa nchi ambaZo ni za kidini huruhusiwi kugusa mwanamke ushoga umejaa.. Na wanawake wanayoa penz ila wanalinda bikra zao..
Yani ufiraun umejaa balaa huko
 
Mzuka Wanajamvi!

Kama mnavyojua vita kali inaendelea huko Iraq kuwaondoa wahuni wa ISIS Mosul. Lakini jambo la kufurahisha nimekuja kugundua huu mji wa Mosul ndio hule Yona alitumwa Na Mungu kupeleka neno akala kona na kuingia chaka. Ikabidi atupwe baharin Na kumezwa Na nyangumi. Nadhan story mnahifaham.

Kumbe pia Ayubu ama Job alikuwa MuOmani ama Myemeni kaburi lake hadileo liko kati ya Yemen Na Oman.

Kumbe Pilato alikuwa Mfaransa (Gaul) ambalo lilikuwa jimbo la Kirumi.

Wale mamajus waliompelekea mwokoz wetu zawad walikuwa wakurd maeneo ya Tikrit Iraq.

Sodoma Na gomorrah ilikuwa ndio Syria.

Jezebel alikuwa mlebanoni (Phoenician) kutoka mji wa Sidon ambapo Sasa hivi Hezbollah wamejikita.

Mke wa musa Zipporah alikuwa Muafrika kutoka Ethiopia.

Nilikuwa najiuliza uislam ulifikaje hizi nchi Malasyia, Indonesia Na Brunei kumbe ni Otoman waturuki waliufikisha huko Ata mji wa Aceh ni kituruki.
Mkuu Copenhagen DN,nakukubali sana kwa michango yako bro,ubarikiwe.
 
Waarabu hata sas hivi ushoga upo kwa sana tu .. Hasa nchi ambaZo ni za kidini huruhusiwi kugusa mwanamke ushoga umejaa.. Na wanawake wanayoa penz ila wanalinda bikra zao..
Yani ufiraun umejaa balaa huko
Kweli mkuu !! Wanachotofautiana na wazungu ni freedom!! Uarabun hakuna freedom wakat wazungu wanafreedom ktk mambo yote ambayo yanalenga Uhuru binafs
 
Wewe Jiwekuu acha zako bhana,mambo ya kulana Tigo au Tigolization imeanzia mkoa wa Mara,yaani kule kwetu Rorya na Kyabakari,weeeee vipi?,acha kuharibu historia bhana,kwani umesahau huu msemo"SASA UNAINGIA MKOA WA MARA"au vipi?,huko kuna wanaume tunakula kichuri cha ng"ombe au mbuzi,kwa hiyo ni kupasua tu mifereji kwa kwenda mbere weye.
 
Waarabu hata sas hivi ushoga upo kwa sana tu .. Hasa nchi ambaZo ni za kidini huruhusiwi kugusa mwanamke ushoga umejaa.. Na wanawake wanayoa penz ila wanalinda bikra zao..
Yani ufiraun umejaa balaa huko
Kila penye waarabu wanne wa kiume nasikia mmoja ni shoga na mwingine huwa anakua ameacha punde tu!
 
Back
Top Bottom