Kumbe Mosul ndio ile Ninawi/Nineveh ya Yonah

Yona sasa hivi umwambie aende Mosul hatakubali.. Kule akifika tu wanamchinja kama kondoo.. Wale jamaa aisee sijui kwenye ubongo wana nini. Dah!!
Kuna kichwa kilikuwa kinaitwa Jihad John. Dah!! Jina la kikristo ila anajifanya Jihad, kwanza kakulia UK , basi tabu tupu..
Kuna baadhi ya laptop za hawa ISIS zilikamatwa unaambiwa jamaa walikuta porno kama TerABiTe saba..
Ndio Maana Mungu anakuwa na hasira na hawa jamaa .. Wanafanya mambo ya ajabu ajabu sana
 
dah jihadi Joni Muhammad emwazi alikuwa katili sana
 
Yona sasa hivi umwambie aende Mosul hatakubali.. Kule akifika tu wanamchinja kama kondoo.. Wale jamaa aisee sijui kwenye ubongo wana nini. Dah!!
Kuna kichwa kilikuwa kinaitwa Jihad John. Dah!! Jina la kikristo ila anajifanya Jihad, kwanza kakulia UK , basi tabu tupu..
Kuna baadhi ya laptop za hawa ISIS zilikamatwa unaambiwa jamaa walikuta porno kama TerABiTe saba..
Ndio Maana Mungu anakuwa na hasira na hawa jamaa .. Wanafanya mambo ya ajabu ajabu sana
Pia walipokuwa wanavamia vijiji wanavyoishi yazid na wa-kurd walikuwa wanateka wanawake alafu wanaenda kuwapiga bei(yaani wanauziana),kuna video youtube ,ila wanaogopa kuuwawa na wanawake maana kwa mtazamo wao(ISS) ukiuwawa na mwanamke hauwezi kwenda paradise(fatilia chanzo cha uanzishwaji wa majeshi ya wanawake wa ki-kurd YPG) kufanya starehe na kutunukiwa bikra,pia hawa wanake wanpokamatwa wanamilikiwa kama sex slave(yaani mmiliki ndio mpokea pesa ),
 
Porno TB 7 walidownload kutoka site za dunia nzima nin[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Daaa !! Kumbe wanaamini akiuwana na mwanamke hataenda peponi haha
 
Porno TB 7 walidownload kutoka site za dunia nzima nin[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Weeee yale majamaa noma.. Yani ujerumani walivyokamatwa hio laptop US walifurahi kinoma wakajua watapata macontacts na details za maana.
Wakaipeleka pentagon ili kuitoa passcode.
Walichoka wenyewe.. Porno tupu!!!
 
Mzuka Wanajamvi!

Kama mnavyojua vita kali inaendelea huko Iraq kuwaondoa wahuni wa ISIS Mosul. Lakini jambo la kufurahisha nimekuja kugundua huu mji wa Mosul ndio hule Yona alitumwa Na Mungu kupeleka neno akala kona na kuingia chaka. Ikabidi atupwe baharin Na kumezwa Na nyangumi. Nadhan story mnahifaham.

Kumbe pia Ayubu ama Job alikuwa MuOmani ama Myemeni kaburi lake hadileo liko kati ya Yemen Na Oman.

Kumbe Pilato alikuwa Mfaransa (Gaul) ambalo lilikuwa jimbo la Kirumi.

Wale mamajus waliompelekea mwokoz wetu zawad walikuwa wakurd maeneo ya Tikrit Iraq.

Sodoma Na gomorrah ilikuwa ndio Syria.

Jezebel alikuwa mlebanoni (Phoenician) kutoka mji wa Sidon ambapo Sasa hivi Hezbollah wamejikita.

Mke wa musa Zipporah alikuwa Muafrika kutoka Ethiopia.

Nilikuwa najiuliza uislam ulifikaje hizi nchi Malasyia, Indonesia Na Brunei kumbe ni Otoman waturuki waliufikisha huko Ata mji wa Aceh ni kituruki.

ayubu alikua MKUSHI, muETHIOPIA
 
Mkuu huyo binadamu alogunduliwa huko kwenu tz sio wa kwanza ni wa kale, tofautisha kati ya kwanza na kale.
Hasante mkuu kumbe kuna tofauti kubwa kati ya binadamu wa kwanza na kale. Nikikuwa mbali kwenye box mkuu
 
Back
Top Bottom