Usijitape sana bado mapema mkuu.Sio swala la mda ni maamuzi tu
Kwa hiyo unataka kumanisha nn labda Mimi Ni dhaifu sioKusema kuwa single n raha Sana Ni ishara tosha ya kuonyesha udhaifu mkubwa Sana ya kutokua muwajibikaji coz relationship is all about commitment, ukiwa kwenye mahusiano lazma uwe km mtumwa kubali kataa lazima uweze kuridhisha nafsi yako na ya mwenzako kwa wakat mmoja
Mtu anayesema anaona furaha zaidi kuwa single afu ni mwanaume ..(Bora mwanamke)..Ana madhaifu mengi kwenye angle tofauti tofaut za maisha , watu wa design hii ni wepesi wa kupoteza tumaini , wanahitaji msaada mkubwa wa kisaikolojia ...[emoji3578]
Aahhhh kumbe lkn ILIKUWA kwako sidhani kama inaweza kuwa kwa wengineMaisha ya mahusiano ni mazuri endapo utampata your soul mate mtu unaendana nae tofauti na hapo utayachukia utafurahia kuwa single
when I met her she changed a lot about me i became a different person.i will always remember her for that
.but nowadays I am different nimekuwa baharia mwandamizi [emoji3]
Unaona kama mimi [emoji23][emoji23][emoji23], naona stress tuu, sema anajipa moyoPole sana mkuu but you don't sound like "maisha ya kuwa single mazuri sana" [emoji847]sasa sijui masikio yangu tu[emoji52]
FactKuwa Singo kwahitaji strategy sana, ukiwa na mpango mkakati utafurahia mno kukaa peke yako Nafsini na maishani...
Kwenye nyegeAcha kinitisha ugumu utoke wapi