Kumbe maisha ya usingle ni mazuri Sana

Kumbe maisha ya usingle ni mazuri Sana

Sure kua mwenyew ni poa sana mkuu

Sema make sure hukosi zile show za kirafik [emoji3]
Show off nimezipa pending mkuu sahiv nihitaji chochote kile only money's
 
Natamani kutoka kweny kifungo hicho lakin inanibid nipambane tu.
Unakua kweny Surveillance under 24hrs, Sometimes maamuzi yanaingiliwa, bajeti zinavurugwa, Plan zinafeli,.... Yaaani Acha tu. Kua single ni kutamu sana endapo utatoka kweny kifungo
Mimi katika hili namshukuru mungu nilitoka na kufanikiwa kuwa free kwa kiasi chake na sina mpango wa kurudisha majeshi nyuma
Fanya maamuzi try to set alone Free
 
Maisha hayana formula
Ukiwa na mapenzi shida inakuwa pesa,
Ukiwa na pesa shida kupata mapenzi ya dhati,
Ukiwa na mapenzi na pesa shida inakuwa maradhi, kisukari Mara aids Mara presha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maisha hayawezi kukuacha ufurahi
Bora uwe napesa ukose mapenzi ya dhati kuliko ukose pesa maana pesa ni mpenzi tosha ukiwa nae ngumu kukusaliti unless yataongezeka
 
Mimi katika hili namshukuru mungu nilitoka na kufanikiwa kuwa free kwa kiasi chake na sina mpango wa kurudisha majeshi nyuma
Fanya maamuzi try to set alone Free
Naona unajipa faraja ya kupigwa chini😅😅.hongera
 
Roller coaster.

Tunakupa muda tena kidogo.
Wiki 1 tu hii ndio inapita, ila utamiss tena Mapenz wiki zijazo na ww utatafuta tu sehem ya kupumzikia.

Alaf unaweza ukaanza kiutani utan ukashangaa ndan ya miez 2 una wanawake 4.

Hapo ndio utasema bora kipind cha nyuma nilitulia na yule mmoja
Hapana braza nasonga mbele sihitaji kurudi nyuma kwa sasa ni kumove on haya mahusiano ni kupotezeana mda na kujipa majukumu
 
Karibu sana ukiongeza na discrete mathematics unamaliza stress.
 
Maisha ya mahusiano ni mazuri endapo utampata your soul mate mtu unaendana nae tofauti na hapo utayachukia utafurahia kuwa single


when I met her she changed a lot about me i became a different person.i will always remember her for that

.but nowadays I am different nimekuwa baharia mwandamizi [emoji3]
 
Lakini hakikisha ukiingia JF uwe unaingia jukwaa la mapishi litakusaidia ,hili jukwaa la mahusiano limekaa kimitego sana
 
Ukianza kuandamwa na stress zitokanazo na ugumu usitusumbue.
 
Maisha ya mahusiano ni mazuri endapo utampata your soul mate mtu unaendana nae tofauti na hapo utayachukia utafurahia kuwa single


when I met her she changed a lot about me i became a different person.i will always remember her for that

.but nowadays I am different nimekuwa baharia mwandamizi [emoji3]
Ohooo 😅😅😅😅😅..
 
Back
Top Bottom