Kumbe maisha ya usingle ni mazuri Sana

Kumbe maisha ya usingle ni mazuri Sana

Sijawahi kuwa single. Sijui inakuwaje kila ninapoachwa au kuacha huwa kuna mtu tayari nipo nae.
 
Yalinikutaaaaa
Mke wangu now ni huyu
Ananipeeeeenda nkimbonyeza anarespond fasta kwa screan afu Hana kiburi
HAJAWAHI NIOMBA HERA
yupo jirani yangu muda wotee

I love you my adorable Ucom [emoji16][emoji16]
JPEG_20200627_212829_6187442015122266725.jpg
 
Nakuunga mkono, etiii na Mimi now nimeongeza kilo aiseh,mapenz yanakondesha asikuambie MTU tena ukimpata kivuruge unaweza zikwa siku si zako!
 
Nakuunga mkono, etiii na Mimi now nimeongeza kilo aiseh,mapenz yanakondesha asikuambie MTU tena ukimpata kivuruge unaweza zikwa siku si zako!
Mapenzi ya kibongo Ni kujipa stress kununua majukumu yasiyoyalazima na utumwa huru
 
Kwahyo utakuwa unjunji kabsa au tutakutana kule...miez mitatu bila kunjunja sio swala dogo
Ni swala la maamuzi tu hata mwaka nitaweza kukaa kwa morali niliyonayo
 
Kwani kitanda godoro,subwoofer, jiko la gesi na kodi miezi sita siruhusiwi kuoa?[emoji1][emoji1][emoji1]
Hata sio mke Mmoja chukua watatu kbsa
 
Natamani kutoka kweny kifungo hicho lakin inanibid nipambane tu.
Unakua kweny Surveillance under 24hrs, Sometimes maamuzi yanaingiliwa, bajeti zinavurugwa, Plan zinafeli,.... Yaaani Acha tu. Kua single ni kutamu sana endapo utatoka kweny kifungo
dini ilisemaga huyu ataacha mama na baba na wataenda kuwa kitu kimoja..nje ya hapo tatu bila
 
Back
Top Bottom