Kumbe mabadiliko wanayonadi UKAWA ni...

Kumbe mabadiliko wanayonadi UKAWA ni...

wewe mwanamke leo umeongea kitu kina maana kubwa, umenishtua na kunitia hofu.... kuna ukweli fulani nadhani.


Ni wale wale.

mimi binafsi sijaona cha maana alichoongea. hana mpya ni sawa na wagombea wa CCM hawana mpya kwani sera zao na ahadi zao ni zilezile.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kuna nyizi nzima nilifunguwa kuhusu Lukuvi, pitia hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/864916-bungeni-lukuvi-kanishangaza-sana.html

Lowassa hatumpi kura kwa udini wake. hai kadhalika Lukuvi angegombea nae tusingempa kura kwa udini wake.

Lowassa anabaguwa mpaka wakristo wenzie wa madhehebu mengine, ni hatari sana huyo mtu.

peke yako humpi LOWASA. Na mwaka huu utakuwa peke yako usishangae MAGUFULI akapata kura yako, yake, na mke wa magufuli tu.

Wote ni LOWASA hata KIKWETE na NAPE wote wanampa LOWASA.

Njia sahihi.jpg


View attachment 286040


View attachment 286041


Magufuli 03.jpg


View attachment 286043

View attachment 286044Tulia sindano iingie taratiiiiiiibu!!!​


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Asante sana kwa maelezo mazuri.
Sasa dada unataka kusema asingetamka hayo ulikuwa umpe kura yako? Nafsi yangu inanisuta kuwa wewe usingempa. Hata angepita sisiem usingempa.
Sasa dada, basi mpe babu Duni na madiwani wa upinzani ambaye ni muislam angalau tupate mfumo mpya badala ya kukalia majungu ya chama chenye umri wa baba bila mafanikio

Hapana, nisingempa hata kama angegombea CCM, hilo la udini wake nilishalisema siku nyingi sana, kama unaukumbuka mjadala kuhusu MoU nililiongea hilo la udini na hapa sasa hivi Mwenyeezi mungu katudhihirishia unafik wa Lowassa kinaga ubaga.

Sababu kubwa sana na ya muhimu ya kutokumchaguwa Lowassa na kuwatanabahisha Watanzania wengine kutomchaguwa ni la ugonjwa alionao, dhambi binadam anaweza kutubu, lakini hili la maradhi ni kubwa sana, jisomee nilichoandika awali:

AlhamduliLlah, mie mzima wa afya tele.

Ninakuombea na wewe uzima na afya.

Lowassa hali yake kiafya haimruhusu kabisa kuongoza hata nyumba kumi, wacha nchi.

Tuwache ushabiki wa kijinga, tunaongelea mtu anaetakiwa kuongoza watu zaidi ya million 45.

Isitoshe, kuna kuumwa magonjwa ambayo yanajulikana kabisa kuwa haya hayana madhara na hayahusishi uelewa na ufahamu wake, yanatibika na ya kupita tu, lakini kwa Lowassa, hebu jisomee hapa chini:

Medical diagnosis
Parkinson's often starts with a tremor in one hand. Other symptoms are slow movement, stiffness, and loss of balance.
People may experience:

Tremor:
can be postural, can occur at rest, in the hands, or limbs

Muscular:
difficulty standing, difficulty walking, difficulty with bodily movement, involuntary movements, muscle rigidity, muscle twitch, problems with coordination, slow bodily movement, stiff muscles, or slow shuffling gait

Cognitive:
amnesia, confusion in the evening hours, dementia, or difficulty thinking and understanding

Sleep:
daytime sleepiness, early awakening, nightmares, restless sleep, or sleep disturbances

Sensory:
distorted sense of smell, loss in contrast sensitivity, or loss of smell

Speech:
impaired voice, soft speech, or voice box spasms

Facial:
jaw stiffness or reduced facial expression

Urinary:
dribbling of urine or leaking of urine

Whole body:
dizziness, fatigue, or poor balance

Psychological:
anxiety or depression

Also common:
apathy, blank stare, constipation, difficulty swallowing, drooling, falling, fear of falling, neck tightness, restlessness, small handwriting, trembling, unintentional writhing, or weight loss

Bado tu tumpe Urais mtu namna hiyo? No. No. No.

Ukimchaguwa mtu mwenye ugonjwa kama wa Lowassa itakuwa hujitendei haki wewe mwenyewe na watoto zetu ambao hawajafikia umri wa kupiga kura - Kumbuka hilo.

Halafu wananishangaza zaidi CUF, kauli mbiu yao ni "haki sawa kwa wote" sasa kumchaguwa mgonjwa ni kutenda haki sawa kwa wote? - Wanazidhulumu nafsi zao na wale wanaowatagemea kuwa watafanya maumuzi sahihi, hususan watoto ambao hawajafikia umri wa kupiga kura.
 
Sema yooootee..lakn MABADILIKO !!!!

Medical diagnosis
Parkinson's often starts with a tremor in one hand. Other symptoms are slow movement, stiffness, and loss of balance.
People may experience:

Tremor:
can be postural, can occur at rest, in the hands, or limbs
 
Back
Top Bottom