Kumbe mabadiliko wanayonadi UKAWA ni...

Kumbe mabadiliko wanayonadi UKAWA ni...

Bibi ajuza mambo!! Vipi kidonda cha mchepuko wako tezi dume kimepona???
 
wewe unaonyesha kiasi gani umechanganyikiwa soma thread nzima kwanza.mmeshaanza kuchanganyikiwa mapema hivi?

Naam, Lowassa kanichaganya sana kwa udini aliouonesha wazi wazi,

Ni mtu hatari sana tena sana kwa amani ya taifa letu.

Huyo inabidi awe under constant surveillance.
 
mnaanza kupaniki mapema hivi hata kuandika unatetemeka mikono?

Naam, nnatetemeka mikono kwa hasira ya hawa wapuuzi wachache wanaotaka kuligawa taifa.
 
Post yeyote ikiletwa na gamba humu ni ya kukata tamaa tu Duh! Nasikia mkulu anaruka tena Merekani?
 
Naam, lazima ukate tamaa, maana sasa mshaanza kuongelea udini na kuibiwa kura.

Mnatafuta pakutokea.
 
mnafik,-mnafiki
wakutheri-walutheri
yyatakuwa-yatakuwa
kawwaida-kawaida
Hii inaonyesha kiasi gani ccm mmepaniki sasa mbona mnahangaika na mambo ya #UKAWA kuliko ya ccm?
TANZANIA MPYA INAKUJA CHINI RAISI MTARAJIWA EDWARD LOWASA KIPENZI CHA WATANZANIA .Huko shuleni unaendaga kusomea ujinga.?
 
Naama, lazima ukate tamaa, maana sasa mshaanza kuongelea kuibiwa kura. Mnataafuta pakutokea.

nyie ccm ndo nimechanganyikiwa mapema hivyo hata kuandika unatetemeka mikono huko shuleni mnaendaga kusomea ujinga?
 
Aliyelaaniwa ni yule anaewagawa watu badala ya kuwaunganisha - kumbuka hilo.

Nyie inaonekana LOWASA anawanyima raha sana mwaka huu mtapaniki sana ,mtachanganyikiwa sana lakini ccm lazima iondoke madarakani udini na ukabila utawapeleka pabaya ccm mwaka huu.
POMBE MWISHO NI KAUNTA IKULU LOWASA ANATOSHA

TANZANIA MPYA INAKUJA CHINI YA UTAWALA MPYA WA RAISI MTARAJIWA EDWARD LOWASA.
 
naam, nnatetemeka mikono kwa hasira ya hawa wapuuzi wachache wanaotaka kuligawa taifa.
IMG-20150809-WA0100.jpg
ikulu siyo pango mafisadi.

Lowasa huyo anakuja na tanzania mpya .
 
Inasikitisha sana.

Si muda mrefu uliopita ilikuwa ni kawaida kusoma humu JF na kusikia kauli za "ukombozi" kutoka kwa baadhi ya watu.

Mimi, kupitia hii hii JF nikasema hiyo ni kauli aliyoitumia Luther alipokuwa anajitenga na RC.

Haikupita muda Mkapa akawapa dozi live pale Jangwani wale wote wanaosema "ukombozi" kwa kauli ya Mkapa alisema ni "wapumbavu na malofa", wote wanaosema eti ukombozi.

Dozi hiyo ya Mkapa imewaingia na toka siku hiyo sijaliona hilo neno au kama nimeliona tena basi ni mara moja au mbili kwa wale ambao dozi haijawaingia vizuri.

Haikupita muda nikamsikia kwenye video kupitia hapa hapa JF Lowassa akiongea kanisa la kilutheri akisema wamchaguwe kwa kuwa yeye ni Mlutheri na hakuna mluteri aliywahi kuwa rais.

Kwa hayo sasa nnaamini "mabadiliko" wayatakayo ukawa ndio hayo ya kutaka dhehebu fulani na watu wa kanda ndiyo watawale.

Kwa sababu nimewasoma sana humu JF, wao wanasema wanataka mabadiliko tu, ukiwauliza "ya nini hayo mabadiliko" hawasemi! Jibu lao ni "sisi tunataka mabadiliko tu"!

Magufuli ananadi mabadiliko na anaeleza hayo mabadiliko yatakuwa yepi.

Ukweli ni kuwa hawa wote wanaobwabwaja mabadiliko domo linakuwa zege inapokuja kusema mbele za watu ni mabadiliko yepi watakayo na sababu ni hiyo, wanataka mabadiliko ya dhehebu na ukanda. Hata Lowassa alipolisema hilo aliwafukuza waandishi wa habari kanisani abaki na walutheri wenza tu.

Watanzania tusiwasikilize hawa hata kidogo, hiyo agenda yao ya udini na ukanda waliifanya siri lakini Mwenyeezi Mungu hamfichi mnafik, Lowassa alidhani anaongea siri na walutheri wenzake kumbe kuna mtu amemrekodi, ni hatari sana.
Tazama list ya ukawa inayoongozana na Lowassa. Wote walutheri na wote wa kaskazini, Lowassa, Mbowe, Sumaye, Mbatia. Nnamuombea salama tu yule mtu aliye mrekodi, maana watu wakifikia kiasi hicho wanakuwa ni hatari sana.

Hawa watu ni hatari sana tena sana. Tuhakikishe hawapati kura za kila mwenye kujitambuwa.

#HapaKaziTu

Ni hatari kufanya mabadiliko bila kujua yanafaida gani kwako, hakika sipo tayari kufanya mabadiliko bila ya ujiongeza kifikra ya kwamba nini ninahitaji.
Ninamkubali Magufuli kwakuwa 1. Mchapakazi kwakweli hakuna asiyejua hili 2.Muadilfu katika uongozi wake nimelipona hili 3. Mfuatiliaji katika wizara zote alizopewa alikuwa mfuatiliaji katika kila jambo ndio maana wizara zake zote alikuwa amepewa aliongoza kwa kufanisi wa hali ya juu na ndio wizara mfano katika Tanzania yetu.
 
Hata hali ya hewa huwa inabadilika.Mabadiliko ya utawala mwaka huu huwezi kuyaepuka
 
Kemea basi na hili:

[h=2]Vurugu Mara: Msafara wa Heche wavamiwa, Mwanachama mmoja wa CHADEMA Afariki[/h]
Kwa namna hii nishaona kila dalili za ICC..... Too sad

" Msafara wangu umevamiwa na wanaccm wakati nikitoka kijiji cha mangucha kwenda kegonga watu wetu wameumizwa na mmoja amefariki dunia" Msg ya Heche kanithibitishia sasa hivi....

attachment.php
attachment.php

Mambo yanayohusu kuligawa taifa inabidi tuyakemee kwa nguvu zote na kuyalaani.

Kutoka Hapa: https://www.jamiiforums.com/uchaguz...a-mwanachama-mmoja-wa-chadema-afariki-11.html
 
Naam, Lowassa kanichaganya sana kwa udini aliouonesha wazi wazi,

Ni mtu hatari sana tena sana kwa amani ya taifa letu.

Huyo inabidi awe under constant surveillance.
LOWASA kusema naomba mniombee nyie walutheri mna sababu ya kuomba zaidi ni kosa?
Magufuli kusema ukichagua upinzani nchi itakuwa kama Libya amani itatoweka .siyo kosa ?

MTASEMA SANA MTAANDIKA SANA JF LAKINI MWAKA HUU CCM IONDOKE MADARAKANI.
 
Naam, Lowassa kanichaganya sana kwa udini aliouonesha wazi wazi,

Ni mtu hatari sana tena sana kwa amani ya taifa letu.

Huyo inabidi awe under constant surveillance.

Kifika hadi octoba is utaanza kuokota makopo pole mwenzio kikwete alitangaza morogoro halali lowasa noma
 
Inasikitisha sana.

Si muda mrefu uliopita ilikuwa ni kawaida kusoma humu JF na kusikia kauli za "ukombozi" kutoka kwa baadhi ya watu.

Mimi, kupitia hii hii JF nikasema hiyo ni kauli aliyoitumia Luther alipokuwa anajitenga na RC.

Haikupita muda Mkapa akawapa dozi live pale Jangwani wale wote wanaosema "ukombozi" kwa kauli ya Mkapa alisema ni "wapumbavu na malofa", wote wanaosema eti ukombozi.

Dozi hiyo ya Mkapa imewaingia na toka siku hiyo sijaliona hilo neno au kama nimeliona tena basi ni mara moja au mbili kwa wale ambao dozi haijawaingia vizuri.

Haikupita muda nikamsikia kwenye video kupitia hapa hapa JF Lowassa akiongea kanisa la kilutheri akisema wamchaguwe kwa kuwa yeye ni Mlutheri na hakuna mluteri aliywahi kuwa rais.

Kwa hayo sasa nnaamini "mabadiliko" wayatakayo ukawa ndio hayo ya kutaka dhehebu fulani na watu wa kanda ndiyo watawale.

Kwa sababu nimewasoma sana humu JF, wao wanasema wanataka mabadiliko tu, ukiwauliza "ya nini hayo mabadiliko" hawasemi! Jibu lao ni "sisi tunataka mabadiliko tu"!

Magufuli ananadi mabadiliko na anaeleza hayo mabadiliko yatakuwa yepi.

Ukweli ni kuwa hawa wote wanaobwabwaja mabadiliko domo linakuwa zege inapokuja kusema mbele za watu ni mabadiliko yepi watakayo na sababu ni hiyo, wanataka mabadiliko ya dhehebu na ukanda. Hata Lowassa alipolisema hilo aliwafukuza waandishi wa habari kanisani abaki na walutheri wenza tu.

Watanzania tusiwasikilize hawa hata kidogo, hiyo agenda yao ya udini na ukanda waliifanya siri lakini Mwenyeezi Mungu hamfichi mnafik, Lowassa alidhani anaongea siri na walutheri wenzake kumbe kuna mtu amemrekodi, ni hatari sana.
Tazama list ya ukawa inayoongozana na Lowassa. Wote walutheri na wote wa kaskazini, Lowassa, Mbowe, Sumaye, Mbatia. Nnamuombea salama tu yule mtu aliye mrekodi, maana watu wakifikia kiasi hicho wanakuwa ni hatari sana.

Hawa watu ni hatari sana tena sana. Tuhakikishe hawapati kura za kila mwenye kujitambuwa.

#HapaKaziTu

aliyewhi-aliyewahi
Huko shuleni unaendaga kusomea ujinga???
 
Luther alipojitenga na RC, alisema "Tunataka mabadiliko" i maana alikuwa hajaridhika na baadhi ya mambo ambayo yalikuwamo RC kwa kipindi hicho.

Lowasa anaposema "Tunataka mabadiliko" anataka kututoa hapa tulipo tuwezze kubadilika kimaisha. Kupitia mikataba yenye utata kimaslahi kwa Taifa, kufufua viwanda vilivyoliwa na mchwa pamoja na Panya.

Sisi tunaposema tunataka mabadiliko tunaungana kabisa na Mh. Rais Mtarajiwa Lowasa pia tuna nia ya kuondoa mfumo mbovu ulioshindwa kutuletea maendeleo na kutufanya tuwe MALOFA NA WAPUMBAVU. Hivyo tunataka kuuondoa tarehe 25/10/2015.

Tanzania tulipata Uhuru lakini ni wa Bendera hivyo tunahitaji ukombozi.

MIZMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom