Kumbe mabadiliko wanayonadi UKAWA ni...

Kumbe mabadiliko wanayonadi UKAWA ni...

faiza bwana muislamu unaemuunga mkono MTU ALIYEWAITA UHAMSHO WAHALIFU NA MAGAIDI DAAHH...!!
KESHO KWA MUNGU KUNA KAZI SANA....!!
serious magufuli anasema wale uamsho magaidi leo unamuona lowassa aliyesema atawatoa wale wazee wa watu waliolawitiwa gerzani hafai kisa we NI CCM
kweli uislamu mgumu...duuhhh nilikua nakuheshimu sana ila jipange upyaaa

Mtabwabwaja na kuhororoja sana.

Hatumchaguwi mtu kwa ulutheri wake.
 
Mungu katika Yesu Kristo akukomboe wewe unayesambaza uchochezi wa kidini

Ile video kwa mwenye akili timamu inasemajuu ya kuombewa na si suala la kupigiwa kura

mara nyingi ukiona mtu anapinga kuombewa jua ana mganga wake wa kienyeji

Ninakomesha chuki zote za kidini na kusudi la Mungu likatimie katika jina kuu la Yesu

Na Nyerere na Mkapa aliwataja wa nini? Rudia alichosema.
 
Huo udini siku ukipata nguvu na watu wakatengana kutokana na dini zao i think no body will be happy even those spreading rumours!!!

Hujaiona video ya Lowassa aliyoongea kanisani?

Sema ni feki ile?
 
Hatari kuliko walio ua viwanda, kung'oa watu meno, kuua watu kama Mwangosi, kuongeza vilaza mtaani kama wewe wa dv 5., kumaliza tembo, kubambikia kesi, kueneza udini na ukanda kama wewe,.. Narudi..
Utajiju kama uling'olewa meno utajiju. Mwizi hawezi kuwa rais wetu hata siku moja, labda awe rais wa Walutheri na Wamasai. #HapaKaziTu
 
Inasikitisha sana.

Si muda mrefu uliopita ilikuwa ni kawaida kusoma humu JF na kusikia kauli za "ukombozi" kutoka kwa baadhi ya watu.

Mimi, kupitia hii hii JF nikasema hiyo ni kauli aliyoitumia Luther alipokuwa anajitenga na RC.

Haikupita muda Mkapa akawapa dozi live pale Jangwani, wale wote wanaosema "ukombozi" kwa kauli ya Mkapa alisema ni "wapumbavu na malofa".

Dozi hiyo ya Mkapa imewaingia vizuri sana na toka siku hiyo sijaliona hilo neno au kama nimeliona tena basi ni mara moja au mbili kwa wale ambao dozi haijawaingia vizuri.

Haikupita muda nikamsikia kwenye video, kupitia hapa hapa JF, Lowassa akiongea kanisa la kilutheri akisema wamchaguwe kwa kuwa yeye ni Mlutheri na hakuna Mlutheri aliyewahi kuwa Rais kwa hiyo sasa ni zamu yao.

Kwa hayo, sasa nnaamini "mabadiliko" wayatakayo UKIWA ndio hayo ya kutaka dhehebu fulani na watu wa kanda ndiyo watawale.

Kwa sababu nimewasoma sana humu JF, wao wanasema wanataka mabadiliko tu, ukiwauliza "ya nini hayo mabadiliko" hawasemi! Jibu lao ni "sisi tunataka mabadiliko tu"!

Magufuli ananadi mabadiliko na anaeleza hayo mabadiliko yatakuwa yepi.

Ukweli ni kuwa hawa wote wanaobwabwaja mabadiliko domo linakuwa zege inapokuja kusema mbele za watu ni mabadiliko yepi wayatakayo na sababu ni hiyo, wanataka mabadiliko ya dhehebu na ukanda. Hata Lowassa alipolisema hilo aliwafukuza waandishi wa habari kanisani akabaki na Walutheri wenzake tu.

Watanzania tusiwasikilize hawa hata kidogo, hiyo agenda yao ya udini na ukanda waliifanya siri lakini Mwenyeezi Mungu hamfichi mnafik, Lowassa alidhani anaongea siri na Walutheri wenzake, kumbe kuna mtu amemrekodi, ni hatari sana.

Tazama list ya ukawa inayoongozana na Lowassa. Wote Walutheri na wote wa Kaskazini; Lowassa, Mbowe, Sumaye, Mbatia.

Nnamuombea salama tu yule mtu aliye mrekodi Lowassa, maana watu wakifikia kiasi hicho wanakuwa ni hatari sana.

Hawa watu ni hatari sana tena sana na ni wabaguzi wa hali ya juu. Tuhakikishe hawapati kura za kila mwenye kujitambuwa.

#HapaKaziTu

umeandika upuuzi
 
MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA
CCM kwisha habari yake subiri 25 ya Oct 2015 mpate Matokeo ya kuudanganya umma utatoa HUKUMU Sawa Na kosa
 
YALE YALISHIA WAPI VILE ...SASA ,,HAPA KAZI TU,,duh
CCM kwisha habari yake subiri 25 ya Oct 2015 mpate Matokeo ya kuudanganya umma utatoa HUKUMU Sawa Na kosa
 
Lipumba anagombea urais kupitia chama kipi?

YANI WEWE FOXY HUJITAMBUI KABISA FANYA URUDI PORINI TU KWENYE MAKAZI YAKO HUKU HAPAKUFAI.

•yani unaacha point ya msingi kuwa SIASA ZISICHANGANYWE NA UDINI BADALA YAKE UNAAZA KUULIZA ETI LIPUMBA ANAGOMBEA CHAMA KIPI..KWA HIYO ANACHOFANYA LIPUMBA HAPO NI SAWA???

●IKO WAZI TATIZO LENU NI LOWASSA KUGOMBEA URAIS NDO LINALOWAUMIZA VICHWA KILA KUKICHA PROVIDED MGOMBEA WENU ANA HALI NGUMU YA KUSHINDA UCHAGUZI UJAO!
 
Luther alipojitenga na RC, alisema "Tunataka mabadiliko" i maana alikuwa hajaridhika na baadhi ya mambo ambayo yalikuwamo RC kwa kipindi hicho.

Lowasa anaposema "Tunataka mabadiliko" anataka kututoa hapa tulipo tuwezze kubadilika kimaisha. Kupitia mikataba yenye utata kimaslahi kwa Taifa, kufufua viwanda vilivyoliwa na mchwa pamoja na Panya.

Sisi tunaposema tunataka mabadiliko tunaungana kabisa na Mh. Rais Mtarajiwa Lowasa pia tuna nia ya kuondoa mfumo mbovu ulioshindwa kutuletea maendeleo na kutufanya tuwe MALOFA NA WAPUMBAVU. Hivyo tunataka kuuondoa tarehe 25/10/2015.

Tanzania tulipata Uhuru lakini ni wa Bendera hivyo tunahitaji ukombozi.

MIZMBWA
INANIUMA SANA!!!
*MIZMBWA = MIZAMBWA
Huko shuleni mnaendaga kusomea *** FaizaFoxy bwana!
 
Inasikitisha sana.

Si muda mrefu uliopita ilikuwa ni kawaida kusoma humu JF na kusikia kauli za "ukombozi" kutoka kwa baadhi ya watu.

Mimi, kupitia hii hii JF nikasema hiyo ni kauli aliyoitumia Luther alipokuwa anajitenga na RC.

Haikupita muda Mkapa akawapa dozi live pale Jangwani, wale wote wanaosema "ukombozi" kwa kauli ya Mkapa alisema ni "wapumbavu na malofa".

Dozi hiyo ya Mkapa imewaingia vizuri sana na toka siku hiyo sijaliona hilo neno au kama nimeliona tena basi ni mara moja au mbili kwa wale ambao dozi haijawaingia vizuri.

Haikupita muda nikamsikia kwenye video, kupitia hapa hapa JF, Lowassa akiongea kanisa la kilutheri akisema wamchaguwe kwa kuwa yeye ni Mlutheri na hakuna Mlutheri aliyewahi kuwa Rais kwa hiyo sasa ni zamu yao.

Kwa hayo, sasa nnaamini "mabadiliko" wayatakayo UKIWA ndio hayo ya kutaka dhehebu fulani na watu wa kanda ndiyo watawale.

Kwa sababu nimewasoma sana humu JF, wao wanasema wanataka mabadiliko tu, ukiwauliza "ya nini hayo mabadiliko" hawasemi! Jibu lao ni "sisi tunataka mabadiliko tu"!

Magufuli ananadi mabadiliko na anaeleza hayo mabadiliko yatakuwa yepi.

Ukweli ni kuwa hawa wote wanaobwabwaja mabadiliko domo linakuwa zege inapokuja kusema mbele za watu ni mabadiliko yepi wayatakayo na sababu ni hiyo, wanataka mabadiliko ya dhehebu na ukanda. Hata Lowassa alipolisema hilo aliwafukuza waandishi wa habari kanisani akabaki na Walutheri wenzake tu.

Watanzania tusiwasikilize hawa hata kidogo, hiyo agenda yao ya udini na ukanda waliifanya siri lakini Mwenyeezi Mungu hamfichi mnafik, Lowassa alidhani anaongea siri na Walutheri wenzake, kumbe kuna mtu amemrekodi, ni hatari sana.

Tazama list ya ukawa inayoongozana na Lowassa. Wote Walutheri na wote wa Kaskazini; Lowassa, Mbowe, Sumaye, Mbatia.

Nnamuombea salama tu yule mtu aliye mrekodi Lowassa, maana watu wakifikia kiasi hicho wanakuwa ni hatari sana.

Hawa watu ni hatari sana tena sana na ni wabaguzi wa hali ya juu. Tuhakikishe hawapati kura za kila mwenye kujitambuwa.

#HapaKaziTu

Sasa dada faiza foxki, hebu tupia hapa statement ya mh. Lukuvi akiwa church......kuhusu katiba mpya
 
Kuna nyizi nzima nilifunguwa kuhusu Lukuvi, pitia hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/864916-bungeni-lukuvi-kanishangaza-sana.html

Lowassa hatumpi kura kwa udini wake. hai kadhalika Lukuvi angegombea nae tusingempa kura kwa udini wake.

Lowassa anabaguwa mpaka wakristo wenzie wa madhehebu mengine, ni hatari sana huyo mtu.
Asante sana kwa maelezo mazuri.
Sasa dada unataka kusema asingetamka hayo ulikuwa umpe kura yako? Nafsi yangu inanisuta kuwa wewe usingempa. Hata angepita sisiem usingempa.
Sasa dada, basi mpe babu Duni na madiwani wa upinzani ambaye ni muislam angalau tupate mfumo mpya badala ya kukalia majungu ya chama chenye umri wa baba bila mafanikio
 
YANI WEWE FOXY HUJITAMBUI KABISA FANYA URUDI PORINI TU KWENYE MAKAZI YAKO HUKU HAPAKUFAI.

•yani unaacha point ya msingi kuwa SIASA ZISICHANGANYWE NA UDINI BADALA YAKE UNAAZA KUULIZA ETI LIPUMBA ANAGOMBEA CHAMA KIPI..KWA HIYO ANACHOFANYA LIPUMBA HAPO NI SAWA???

●IKO WAZI TATIZO LENU NI LOWASSA KUGOMBEA URAIS NDO LINALOWAUMIZA VICHWA KILA KUKICHA PROVIDED MGOMBEA WENU ANA HALI NGUMU TA KUSHINDA UCHAGUZI UJAO!

Hoyaaaa jibu swali, wacha kuhororoja na kubwabwaja bila mpango:

Lipumba anagombea urais kupitia chama kipi?
 
Mada ya kijinga kabisa hii
Inasikitisha sana.

Si muda mrefu uliopita ilikuwa ni kawaida kusoma humu JF na kusikia kauli za "ukombozi" kutoka kwa baadhi ya watu.

Mimi, kupitia hii hii JF nikasema hiyo ni kauli aliyoitumia Luther alipokuwa anajitenga na RC.

Haikupita muda Mkapa akawapa dozi live pale Jangwani, wale wote wanaosema "ukombozi" kwa kauli ya Mkapa alisema ni "wapumbavu na malofa".

Dozi hiyo ya Mkapa imewaingia vizuri sana na toka siku hiyo sijaliona hilo neno au kama nimeliona tena basi ni mara moja au mbili kwa wale ambao dozi haijawaingia vizuri.

Haikupita muda nikamsikia kwenye video, kupitia hapa hapa JF, Lowassa akiongea kanisa la kilutheri akisema wamchaguwe kwa kuwa yeye ni Mlutheri na hakuna Mlutheri aliyewahi kuwa Rais kwa hiyo sasa ni zamu yao.

Kwa hayo, sasa nnaamini "mabadiliko" wayatakayo UKIWA ndio hayo ya kutaka dhehebu fulani na watu wa kanda ndiyo watawale.

Kwa sababu nimewasoma sana humu JF, wao wanasema wanataka mabadiliko tu, ukiwauliza "ya nini hayo mabadiliko" hawasemi! Jibu lao ni "sisi tunataka mabadiliko tu"!

Magufuli ananadi mabadiliko na anaeleza hayo mabadiliko yatakuwa yepi.

Ukweli ni kuwa hawa wote wanaobwabwaja mabadiliko domo linakuwa zege inapokuja kusema mbele za watu ni mabadiliko yepi wayatakayo na sababu ni hiyo, wanataka mabadiliko ya dhehebu na ukanda. Hata Lowassa alipolisema hilo aliwafukuza waandishi wa habari kanisani akabaki na Walutheri wenzake tu.

Watanzania tusiwasikilize hawa hata kidogo, hiyo agenda yao ya udini na ukanda waliifanya siri lakini Mwenyeezi Mungu hamfichi mnafik, Lowassa alidhani anaongea siri na Walutheri wenzake, kumbe kuna mtu amemrekodi, ni hatari sana.

Tazama list ya ukawa inayoongozana na Lowassa. Wote Walutheri na wote wa Kaskazini; Lowassa, Mbowe, Sumaye, Mbatia.

Nnamuombea salama tu yule mtu aliye mrekodi Lowassa, maana watu wakifikia kiasi hicho wanakuwa ni hatari sana.

Hawa watu ni hatari sana tena sana na ni wabaguzi wa hali ya juu. Tuhakikishe hawapati kura za kila mwenye kujitambuwa.

#HapaKaziTu
 
wewe mwanamke leo umeongea kitu kina maana kubwa, umenishtua na kunitia hofu.... kuna ukweli fulani nadhani.

Back
Top Bottom