Kumbe mabadiliko wanayonadi UKAWA ni...

Kumbe mabadiliko wanayonadi UKAWA ni...

Interesting mwaka huu FaizaFoxy na Dr Slaa na Mwanakijiji wote team moja wanaiponda CHADEMA..

mwaka huu una mengi ya ajabu
Lowassa na Mnyika marafiki
Lowassa na kubenea marafiki
Lowassa na tundu Lissu marafiki
Tundu Lissu na Slaa maadui
Mbowe na Josephine maadui
Lipumba na Seif maadui
Slaa na Mwakyembe marafiki
Slaa na TISS marafiki..
Gwajima na Slaa maadui
Lema na Dr.Slaa maadui.
Mohamedi Mtoi na Dr.Slaa maadui
Kubenea na Sumaye marafiki
Molemo na Dr.Slaa maadui
Wenje na Masha marafiki...

Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Inasikitisha sana.

Si muda mrefu uliopita ilikuwa ni kawaida kusoma humu JF na kusikia kauli za "ukombozi" kutoka kwa baadhi ya watu.

Mimi, kupitia hii hii JF nikasema hiyo ni kauli aliyoitumia Luther alipokuwa anajitenga na RC.

Haikupita muda Mkapa akawapa dozi live pale Jangwani wale wote wanaosema "ukombozi" kwa kauli ya Mkapa alisema ni "wapumbavu na malofa", wote wanaosema eti ukombozi.

Dozi hiyo ya Mkapa imewaingia na toka siku hiyo sijaliona hilo neno au kama nimeliona tena basi ni mara moja au mbili kwa wale ambao dozi haijawaingia vizuri.

Haikupita muda nikamsikia kwenye video kupitia hapa hapa JF Lowassa akiongea kanisa la kilutheri akisema wamchaguwe kwa kuwa yeye ni Mlutheri na hakuna mluteri aliywahi kuwa rais.

Kwa hayo sasa nnaamini "mabadiliko" wayatakayo ukawa ndio hayo ya kutaka dhehebu fulani na watu wa kanda ndiyo watawale.

Kwa sababu nimewasoma sana humu JF, wao wanasema wanataka mabadiliko tu, ukiwauliza "ya nini hayo mabadiliko" hawasemi! Jibu lao ni "sisi tunataka mabadiliko tu"!

Magufuli ananadi mabadiliko na anaeleza hayo mabadiliko yatakuwa yepi.

Ukweli ni kuwa hawa wote wanaobwabwaja mabadiliko domo linakuwa zege inapokuja kusema mbele za watu ni mabadiliko yepi watakayo na sababu ni hiyo, wanataka mabadiliko ya dhehebu na ukanda. Hata Lowassa alipolisema hilo aliwafukuza waandishi wa habari kanisani abaki na walutheri wenza tu.

Watanzania tusiwasikilize hawa hata kidogo, hiyo agenda yao ya udini na ukanda waliifanya siri lakini Mwenyeezi Mungu hamfichi mnafik, Lowassa alidhani anaongea siri na walutheri wenzake kumbe kuna mtu amemrekodi, ni hatari sana.
Tazama list ya ukawa inayoongozana na Lowassa. Wote walutheri na wote wa kaskazini, Lowassa, Mbowe, Sumaye, Mbatia. Nnamuombea salama tu yule mtu aliye mrekodi, maana watu wakifikia kiasi hicho wanakuwa ni hatari sana.

Hawa watu ni hatari sana tena sana. Tuhakikishe hawapati kura za kila mwenye kujitambuwa.

#HapaKaziTu

Mwenye Heri Nyerere mwombee huyu kiumbe wako..
 
CHADEMA ni nyumbu. Wanapelekeshwa tu na wao wanaenda
 
2005 wavaa suruali fupi walilianzisha wakidai ni zamu yao, ilikuwa sawa. Sasa hivi mnang'ang'ania ulutheri wa Lowassa na kuifanya issue kuubwa, wakati wasukuma wakidai ni zamu ya kanda ya ziwa kutoa rais; hakuna anayeona tatizo. Katika Imani yangu hakuna dhambi kubwa ama ndogo. Yatupasa kukemea makosa kwa msisitizo mmoja!
 
...Tazama list ya ukawa inayoongozana na Lowassa. Wote walutheri na wote wa kaskazini, Lowassa, Mbowe, Sumaye, Mbatia. ..

Kuna walutheri na wa kaskazini wengine umewasahau ktk hiyo list ... Juma Duni, Abdallah Safari, Salum Mwalimu, Maalim Seif, Ismail Jussa, .. .... umesahau kwa sababu ya uzee nini?
 
Inasikitisha sana.

Si muda mrefu uliopita ilikuwa ni kawaida kusoma humu JF na kusikia kauli za "ukombozi" kutoka kwa baadhi ya watu.

Mimi, kupitia hii hii JF nikasema hiyo ni kauli aliyoitumia Luther alipokuwa anajitenga na RC.

Haikupita muda Mkapa akawapa dozi live pale Jangwani wale wote wanaosema "ukombozi" kwa kauli ya Mkapa alisema ni "wapumbavu na malofa", wote wanaosema eti ukombozi.

Dozi hiyo ya Mkapa imewaingia na toka siku hiyo sijaliona hilo neno au kama nimeliona tena basi ni mara moja au mbili kwa wale ambao dozi haijawaingia vizuri.

Haikupita muda nikamsikia kwenye video kupitia hapa hapa JF Lowassa akiongea kanisa la kilutheri akisema wamchaguwe kwa kuwa yeye ni Mlutheri na hakuna mluteri aliywahi kuwa rais.

Kwa hayo sasa nnaamini "mabadiliko" wayatakayo ukawa ndio hayo ya kutaka dhehebu fulani na watu wa kanda ndiyo watawale.

Kwa sababu nimewasoma sana humu JF, wao wanasema wanataka mabadiliko tu, ukiwauliza "ya nini hayo mabadiliko" hawasemi! Jibu lao ni "sisi tunataka mabadiliko tu"!

Magufuli ananadi mabadiliko na anaeleza hayo mabadiliko yatakuwa yepi.

Ukweli ni kuwa hawa wote wanaobwabwaja mabadiliko domo linakuwa zege inapokuja kusema mbele za watu ni mabadiliko yepi watakayo na sababu ni hiyo, wanataka mabadiliko ya dhehebu na ukanda. Hata Lowassa alipolisema hilo aliwafukuza waandishi wa habari kanisani abaki na walutheri wenza tu.

Watanzania tusiwasikilize hawa hata kidogo, hiyo agenda yao ya udini na ukanda waliifanya siri lakini Mwenyeezi Mungu hamfichi mnafik, Lowassa alidhani anaongea siri na walutheri wenzake kumbe kuna mtu amemrekodi, ni hatari sana.
Tazama list ya ukawa inayoongozana na Lowassa. Wote walutheri na wote wa kaskazini, Lowassa, Mbowe, Sumaye, Mbatia. Nnamuombea salama tu yule mtu aliye mrekodi, maana watu wakifikia kiasi hicho wanakuwa ni hatari sana.

Hawa watu ni hatari sana tena sana. Tuhakikishe hawapati kura za kila mwenye kujitambuwa.

#HapaKaziTu
wamelewa udini hadi mbatia anaimbisha nyimbo za kanisani kwenye mkutano wa hadhara pale jangwani. tuwaepuke kama ukoma.
 
Nimesoma hii past nusu sijaona cha maana naomba alie soma yote anieleze kifupi tafadhali.
 
Hapa kazi tu!!
 
Attachments

  • 1442056929586.jpg
    1442056929586.jpg
    61.6 KB · Views: 134
Inasikitisha sana.

Si muda mrefu uliopita ilikuwa ni kawaida kusoma humu JF na kusikia kauli za "ukombozi" kutoka kwa baadhi ya watu.

Mimi, kupitia hii hii JF nikasema hiyo ni kauli aliyoitumia Luther alipokuwa anajitenga na RC.

Haikupita muda Mkapa akawapa dozi live pale Jangwani, wale wote wanaosema "ukombozi" kwa kauli ya Mkapa alisema ni "wapumbavu na malofa".

Dozi hiyo ya Mkapa imewaingia vizuri sana na toka siku hiyo sijaliona hilo neno au kama nimeliona tena basi ni mara moja au mbili kwa wale ambao dozi haijawaingia vizuri.

Haikupita muda nikamsikia kwenye video, kupitia hapa hapa JF, Lowassa akiongea kanisa la kilutheri akisema wamchaguwe kwa kuwa yeye ni Mlutheri na hakuna Mlutheri aliyewahi kuwa Rais kwa hiyo sasa ni zamu yao.

Kwa hayo, sasa nnaamini "mabadiliko" wayatakayo UKIWA ndio hayo ya kutaka dhehebu fulani na watu wa kanda ndiyo watawale.

Kwa sababu nimewasoma sana humu JF, wao wanasema wanataka mabadiliko tu, ukiwauliza "ya nini hayo mabadiliko" hawasemi! Jibu lao ni "sisi tunataka mabadiliko tu"!

Magufuli ananadi mabadiliko na anaeleza hayo mabadiliko yatakuwa yepi.

Ukweli ni kuwa hawa wote wanaobwabwaja mabadiliko domo linakuwa zege inapokuja kusema mbele za watu ni mabadiliko yepi wayatakayo na sababu ni hiyo, wanataka mabadiliko ya dhehebu na ukanda. Hata Lowassa alipolisema hilo aliwafukuza waandishi wa habari kanisani akabaki na Walutheri wenzake tu.

Watanzania tusiwasikilize hawa hata kidogo, hiyo agenda yao ya udini na ukanda waliifanya siri lakini Mwenyeezi Mungu hamfichi mnafik, Lowassa alidhani anaongea siri na Walutheri wenzake, kumbe kuna mtu amemrekodi, ni hatari sana.

Tazama list ya ukawa inayoongozana na Lowassa. Wote Walutheri na wote wa Kaskazini; Lowassa, Mbowe, Sumaye, Mbatia.

Nnamuombea salama tu yule mtu aliye mrekodi Lowassa, maana watu wakifikia kiasi hicho wanakuwa ni hatari sana.

Hawa watu ni hatari sana tena sana na ni wabaguzi wa hali ya juu. Tuhakikishe hawapati kura za kila mwenye kujitambuwa.

#HapaKaziTu

Mabadiliko watu wanayotaka kwa kifupi ni kuto ongozwa na ccm tena na sio vinginevyo

Magufuli anaongea mambo ya kumpinga boss wake kila siku anashangaa tuuuuu
 
fizafoxy hakika wewe ndiye hatari kabisa kuliko wapenda mabadiliko. huyo magufuli wako unayedai anayaelezea mabadiliko atayafanyaje kama alikuwa serikalini miaka isirini hakuweza kufanya. zaidi tulishuhudia akiuza nyumba za serikali na nyingine kuwapatia jamaa zake akina sundi milomo. ninyi ni wabaguzi haswa mnaostahili kupigiwa kura ya kuondolewa madarakani kwani mnachofanya sasa ni kupandikiza hofu kwa wapiga kura kwa kutumia kila aina ya majitaka. Lowassa alienda kanisani kusali na akaombwa awasalimie waumini kama ambavyo magufuli anavyoombwa awasalimie waumini na magufuli mwisho wa salamu husema mniombee, na lowassa alisema vivyo hivyo. ninyi kwa uhuni wenu mkaenda kuedit clip ili ionekane anafanya kampeni kanisani lakini tcra wamewabaini na subirini adhabu yake. mtu aliyemrekodi lowassa alituma clip sahihi lakini ilipofika mikononi mwenu mkai-edit ili mumzushie lowassa lakini mmeshindwa . watanzania wapumbavu na malofa katika ubora wao wanataka ukombozi na mabadiliko kupitia lowassa na ukawa. oktoba 25 watafanya kweli na mtashangaa
Inasikitisha sana.

Si muda mrefu uliopita ilikuwa ni kawaida kusoma humu JF na kusikia kauli za "ukombozi" kutoka kwa baadhi ya watu.

Mimi, kupitia hii hii JF nikasema hiyo ni kauli aliyoitumia Luther alipokuwa anajitenga na RC.

Haikupita muda Mkapa akawapa dozi live pale Jangwani, wale wote wanaosema "ukombozi" kwa kauli ya Mkapa alisema ni "wapumbavu na malofa".

Dozi hiyo ya Mkapa imewaingia vizuri sana na toka siku hiyo sijaliona hilo neno au kama nimeliona tena basi ni mara moja au mbili kwa wale ambao dozi haijawaingia vizuri.

Haikupita muda nikamsikia kwenye video, kupitia hapa hapa JF, Lowassa akiongea kanisa la kilutheri akisema wamchaguwe kwa kuwa yeye ni Mlutheri na hakuna Mlutheri aliyewahi kuwa Rais kwa hiyo sasa ni zamu yao.

Kwa hayo, sasa nnaamini "mabadiliko" wayatakayo UKIWA ndio hayo ya kutaka dhehebu fulani na watu wa kanda ndiyo watawale.

Kwa sababu nimewasoma sana humu JF, wao wanasema wanataka mabadiliko tu, ukiwauliza "ya nini hayo mabadiliko" hawasemi! Jibu lao ni "sisi tunataka mabadiliko tu"!

Magufuli ananadi mabadiliko na anaeleza hayo mabadiliko yatakuwa yepi.

Ukweli ni kuwa hawa wote wanaobwabwaja mabadiliko domo linakuwa zege inapokuja kusema mbele za watu ni mabadiliko yepi wayatakayo na sababu ni hiyo, wanataka mabadiliko ya dhehebu na ukanda. Hata Lowassa alipolisema hilo aliwafukuza waandishi wa habari kanisani akabaki na Walutheri wenzake tu.

Watanzania tusiwasikilize hawa hata kidogo, hiyo agenda yao ya udini na ukanda waliifanya siri lakini Mwenyeezi Mungu hamfichi mnafik, Lowassa alidhani anaongea siri na Walutheri wenzake, kumbe kuna mtu amemrekodi, ni hatari sana.

Tazama list ya ukawa inayoongozana na Lowassa. Wote Walutheri na wote wa Kaskazini; Lowassa, Mbowe, Sumaye, Mbatia.

Nnamuombea salama tu yule mtu aliye mrekodi Lowassa, maana watu wakifikia kiasi hicho wanakuwa ni hatari sana.

Hawa watu ni hatari sana tena sana na ni wabaguzi wa hali ya juu. Tuhakikishe hawapati kura za kila mwenye kujitambuwa.

#HapaKaziTu
 
Interesting mwaka huu FaizaFoxy na Dr Slaa na Mwanakijiji wote team moja wanaiponda CHADEMA..

mwaka huu una mengi ya ajabu
Lowassa na Mnyika marafiki
Lowassa na kubenea marafiki
Lowassa na tundu Lissu marafiki
Tundu Lissu na Slaa maadui
Mbowe na Josephine maadui
Lipumba na Seif maadui
Slaa na Mwakyembe marafiki
Slaa na TISS marafiki..
Gwajima na Slaa maadui

Sijawahi kuwa team moja na Slaa wala sitokuwa - kumbuka hilo.

Niliwahi kumwambia Slaa humuhumu JF, hao wachagga ni maslahi tu na kuna siku watambwaga kama walivyombwaga Zitto.

Huyo babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa ni bogus tu, muongo na hana chochote cha maana, ni sawa na Lowassa, Mbowe na Tundu Lissu.

Na Mohamedi Mtoi nilimwambia hayohayo, siku hizi simuoni, sijuwi na yeye washampiga chini kimya kimya?

Na yule Muunguja anaejidai kimbelembele siku hizi, sijuwi anaitwa Salum? Na yeye asubiri zamu yake, wanamtumia kama maji ya kuchambia, hayarudiwi.

Mitazamo yangu kuhusu Slaa iko wazi kabisa toka zamani, huyo ni muongo na ana uchu wa madaraka kama Lowassa, majirani hao huo kwao. Tatizo Slaa hana fedha kama Lowassa na wachagga wenye chadema mbele ya pesa hawana kujuwana, hata wangekuwa baba mmoja na mama mmoja na Slaa lakini kwa pesa lazima wangemgeuka - kumbuka hilo.

Na Lowassa akikosa uchaguzi ndiyo hatosikika tena chadema kwani hana wadhifa wowote huko zaidi ya kununuwa ugombea urais. Akishapigwa chini na wananchi na akina Mbowe mkataba umekwisha na fedha ndiyo zimekwenda.

Labda akina Mbowe wamtie mkenge mwingine baada ya uchaguzi, maana tayari zezeta kishafanywa chuma ulete.

Wajinga Ndiyo Waliwao.

#HapaKaziTu
 
Kuna walutheri na wa kaskazini wengine umewasahau ktk hiyo list ... Juma Duni, Abdallah Safari, Salum Mwalimu, Maalim Seif, Ismail Jussa, .. .... umesahau kwa sababu ya uzee nini?

Hao CUF duh hawana lao kwa CHADEMA
 
mabadiliko ni nje ya ccm mengine hatutaki hata angegombea wiz kid ningempa

nitarudi...............
 
wamelewa udini hadi mbatia anaimbisha nyimbo za kanisani kwenye mkutano wa hadhara pale jangwani. tuwaepuke kama ukoma.

Dah! Inasikitisha sana, halafu kuna watu bado wanataka tuwachaguwe hawa! Wananshangaza!
 
Kuna walutheri na wa kaskazini wengine umewasahau ktk hiyo list ... Juma Duni, Abdallah Safari, Salum Mwalimu, Maalim Seif, Ismail Jussa, .. .... umesahau kwa sababu ya uzee nini?

Hao Waunguja wote uliowataja hawana cha kupoteza, si mlikuwa mnasema CCM B hao, vipi leo?

Abdallah safari yuko pale kikazi zaidi - huyo tunamjuwa.
 
Interesting mwaka huu FaizaFoxy na Dr Slaa na Mwanakijiji wote team moja wanaiponda CHADEMA..

mwaka huu una mengi ya ajabu
Lowassa na Mnyika marafiki
Lowassa na kubenea marafiki
Lowassa na tundu Lissu marafiki
Tundu Lissu na Slaa maadui
Mbowe na Josephine maadui
Lipumba na Seif maadui
Slaa na Mwakyembe marafiki
Slaa na TISS marafiki..
Gwajima na Slaa maadui

Ni mabadiliko tu mkuu!
 
Ni bora CCM mngempa mama Anna Makinda nafasi hii kuliko huyu boya wenu Magufuli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom