Kumbe maana ya ‘kukinukisha’ ndiyo hii?

Kumbe maana ya ‘kukinukisha’ ndiyo hii?

Unafikiri miaka yote itabaki hivi hivi? Kwamba vijana wengi hawana ajira alafu baadhi ya vijana wachche watoto wa vigogo wanazidi kula neema za nchi.Ipo siku kitanuka kabisaaaa
Change Haina ubishi

Approach ndio tatizo

Kufanya vurugu hakuongezi ajira, kipato wala fursa zozote

Violence kote duniani imeleta negative economic impact tu
 
Back
Top Bottom