Kumbe Lazaro Nyalandu anakimbia mambo !!

Kumbe Lazaro Nyalandu anakimbia mambo !!

Usaliti ni laana mbaya sana na itakutafuna hadi kaburini , wewe Mpendazoe ndio wa kuhoji uamuzi wa Nyalandu ? Alivyoenda kumuona Lissu Nairobi mbona hukuandika porojo kama hizi ?

Hii ni siasa ya kiwango cha juu sana mkuu ukileta fyokofyoko TUTAKUANIKA VIBAYA SANA ! Tenda haki uheshimiwe usilete uzushi , kisa UDC unaoutafuta kwa udi na uvumba , siasa za kishamba waachie akina Jerry Murro .
sijui huyu mpendazoe anahuzunika nini, wale waliogawana pesa escrown mbona hamuwasemi mpaka leo, na wapo wanadunga au mnanasubiri watoke ndio waanze kubwabwaja
 
Itanishangaza sana kama serikali haitachukua hatua juu ya haya ulioyaandika.. Serikali iliyoyopewa mamlaka na wananchi sifikiri iwe na woga. Vinginevyo itaonekana labda ilitokana na maagizo fulani.. Wakati mwingine tunataka kusafisha kumbe ndio tunachafua zaidi.
 
Alikuwa anajua anakatwa tu.. Mwizi wa mali asili zetu huyu
Angekuwa anaogopa hilo wala hata aaingekuwa na wazo hata la kuhama chama,,,,,kwasababu anopotaka kwenda saa hizi ndio hakutakuwa na msamaha hata chembe kwasababu anakoenda saa hz hakuna afueni yoyote ya kimaslahi ya binafsi kwake yeye zaid ya ku hustle kwaajili ya taifa,,,kwahyo kuhama kwake sidhani kama anatafuta afueni yoyote kuhusu hilo swala na wala sidhani kama anaogopa hiyo ishu.by mwanaharakati
 
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?

Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?

So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"

Ameandika,

Pio Pius....[emoji41]
Wewe una muda hata wa kuandika hii mada?? Unawajua vijana wa CDM wewe ama unasikia. Hawa jamaa kama waliaapa wapo tayari kupigia kura jiwe ama mbwa unadhani watakusikia?? Wanayeweza kumsikiliza ni mmoja tu na huyo ni CHIFU wa CDM mtukufu Mbowe.
 
6. Nyalandu ana tuhuma za kujihusisha na ushoga na ndoa za jinsia moja, kumpokea Nyalandu ni sawa na kuonekana tunakumbatia ushoga na ndoa za jinsia moja
Mzee nadhani ukae makini sana na hizi sentence! Unaweza thibitisha hili kwa mheshimiwa nyalandu au unaropoka tu!!! Utafungwa uache wajukuu wako!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Muheshimiwa Raisi alisema afadhali majaji, ila viongozi wengine wastaafu wana washwa washwa, sijui alikua ana maana gani?
 
Tangu wakamatwe wale akina nanihii hana raha. Kawatoa kafara watoto wa watu umaarufu uje arudishwe Maliasili kuficha uozo wake lakini wapi.

Roho za watoto wa Lucky Vicent haziwezi kumuacha salama.
Poor you
 
Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu atangaza kujivua Ubunge wa Jimbo hilo. Amwandikia barua Spika wa Bunge. - Amesema CCM imepoteza uelekeo na kuomba Wanachama wa CHADEMA kama wataona inafaa wamkaribishe.

Nitashangaa kama Chadema watampokea Nyalandu, kwa sababu:-

1. Nyalandu anatuhuma nyingi sana za ufisadi alioufanya wakati akiwa Waziri wa Maliasili, kitendo cha kumpokea Nyalandu itakuwa sawa na Chadema kubariki ufisadi kwa kukaribisha mafisadi.

2. Chadema tutazidi kujimaliza, wapinzani wetu watatuita tumekuwa Chama Cha Mafisadi na kwamba tumetoka kwenye ajenda yetu ya kupambana na ufisadi. Si unakumbuka tulivyobamizwa wakati wa uchaguzi 2015 tulivyowapokea Mafisadi Lowassa na Sumaye, hali hii itajirudia tena kutwangwa tutakapo mpokea Nyalandu.

3. Nyalandu si msafi na kila kona anajulikana kwa umalaya uliopitiliza, kitendo cha kumpokea Chadema kutatuchafua kwa jamii. Nadhani mnakumbuka sakata lake la kwenda nje ya nchi na Msanii Aunty Ezekiel jinsi tulivyomponda kuwa ni Malaya. Itakuwa jambo la ajabu tukila matapishi yetu.

4. Tusisahau pia sisi Chadema tulimshambulia sana Nyalandu kuuza nyala za Serikali na kuruhusu Wanyama pori kusafirishwa nje ya nchi. Kumpokea ni sawa na kula matapishi yetu, ni sawa na kujigeuza jalala la kupokea wachafu.

5. Nyalandu anakuja kuleta mgogoro mkubwa kati yake na Lema kwani lengo lake haswa ni kuja kugombea Ubunge Arusha Mjini. Kweli tumtenge Lema kisa takataka Nyalandu? Sikubali upuuzi huo.

6. Nyalandu ana tuhuma za kujihusisha na ushoga na ndoa za jinsia moja, kumpokea Nyalandu ni sawa na kuonekana tunakumbatia ushoga na ndoa za jinsia moja.

7. Nyalandu anakwepa madudu aliyoyafanya. Amejimilikisha sana vitalu, kuuza wanyama hai, kupora nyala za Serikali, kujihusisha na ujangili. Ni mtu ambaye atapandishwa muda wowote Mahakamani, hatufahi!

8. Nyalandu ni CIA mwenye uraia wa nchi mbili (Tanzania na Marekani), Chama chetu ni kichanga tusiruhusu CIA kuja kutuchunguza na kuvujisha siri zetu. Hatutabaki salama Chadema.
njaa ni mbaya sana ndugu yangu mpendazoe, kumbe mtu akiwa CCM ni msafi, akihamia CHADEMA anabadilika na kuwa fisadi, NIKIUULIZE SWALI, VIPI ILE MAHAKAMA YA MAFISADI IMESHAWAHUKUMU AU KUWASOMEA KESI MAFISADI WANGAPI?
 
Muacheni, isiwe nongwa, ametumia haki yake ya kikatiba na kisheria. Kutokua na chama au kuama chama si kosa, ni haki yake muacheni.

Hivj wale madiwani wa Arusha walio'rubuniwa' na Mnyeti nao hawakua na haki ya kikatiba kuhama chama? Haki ya kikatiba kuhama kutoka chama kimoja cha siasa kwenda kingine ni kwa wale wanaohama kutoka ccm kwenda chadema tu?
 
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?

Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?

So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"

Ameandika,

Pio Pius....[emoji41]

Kwako Bw. Mpendazoe, je unadhani Bw. Nyalandu ni rahisi kupambana na hiyo tuhuma (uzushi) akiwa Mbunge na vyeo vyake chamani (CCM) au akiwa raia wa kawaida?

Huoni hilo bandiko lako halina mashiko wala harufu ya uhalisia bali ni ......hewala bwana .....mkono uende kinywani?
 
mkuu shusha presha kidogo, its not a big deal jamaa kuhama ccm, walihama akina lowassa itakuwa nyalandu
 
Tatizo lenu ndio hili ....sasa kwavile hakuchukuliwa hatua ndio msafi? Akidakwa mtasema anaonewa ....tunawasoma tu ..
Tuone dola ikifanya kazi yake na si kupiga kelele tu. Hadi leo mahakama ya mafisadi haijawa na kesi hata moja. Je ni kwamba hatuna mafisadi au jamaa wanalindana. Mwingine kasema hatafukua makaburi. Nafikiri tatizo ni dhamira ya watawala....wanaogopa mambo yasije warudia wenyewe. Wanapigwa wafanyakazi usiku na mchana lakini sio wanasiasa.
 
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?

Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?

So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"

Ameandika,

Pio Pius....[emoji41]
Kwa Nape umekosea tena sanaaaaaaaaaaa............................!!!!!
 
Hivj wale madiwani wa Arusha walio'rubuniwa' na Mnyeti nao hawakua na haki ya kikatiba kuhama chama? Haki ya kikatiba kuhama kutoka chama kimoja cha siasa kwenda kingine ni kwa wale wanaohama kutoka ccm kwenda chadema tu?
Hilo ni swali zuri sana, hoja iliyopo mezani ni ya aliyekuwa mbunge wa singida kaskazini, ikija hoja ya madiwani nadhani nitarudia maneno hayo hayo kwasababu ndiyo ukweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom