Halafu hawa vidampa eti ndio wanajipa usemaji!Kuweni na akiba ya maneno CCM ina wenyewe, wao hawajatoa kauli zao bado
Wewe mzee hata uDC hautokutananao.LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.
Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?
Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?
So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"
Ameandika,
Pio Pius....[emoji41]
Shimo lipi..mbona mnachangangikiwa vijana. Jifunzeni tu kuishi kihalali.mzee kaaga kimya unajiaibisha nchi kwa sasa inaelekea shimoni kwa kasi mno kila mtu anaona njaa isikuvue utu wako.
Usaliti ni laana mbaya sana na itakutafuna hadi kaburini , wewe Mpendazoe ndio wa kuhoji uamuzi wa Nyalandu ? Alivyoenda kumuona Lissu Nairobi mbona hukuandika porojo kama hizi ?
Hii ni siasa ya kiwango cha juu sana mkuu ukileta fyokofyoko TUTAKUANIKA VIBAYA SANA ! Tenda haki uheshimiwe usilete uzushi , kisa UDC unaoutafuta kwa udi na uvumba , siasa za kishamba waachie akina Jerry Murro .
Buraza furedi umefufuka leo uliposikia kuna nafasi za ukuu wa wilaya ziko wazi,pambana ufanikiwe mana ulizoea hela ya ubunge kipindi kile sasa huna kitu zaidi ya kujipendekeza upate kulaLAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.
Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?
Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?
So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"
Ameandika,
Pio Pius....[emoji41]
Mama kama una nondo za kutosha mbabue tuu maana hakuna namnaUsaliti ni laana mbaya sana na itakutafuna hadi kaburini , wewe Mpendazoe ndio wa kuhoji uamuzi wa Nyalandu ? Alivyoenda kumuona Lissu Nairobi mbona hukuandika porojo kama hizi ?
Hii ni siasa ya kiwango cha juu sana mkuu ukileta fyokofyoko TUTAKUANIKA VIBAYA SANA ! Tenda haki uheshimiwe usilete uzushi , kisa UDC unaoutafuta kwa udi na uvumba , siasa za kishamba waachie akina Jerry Murro .
Kwani mkia ukikatwa huwa unaota?Hivi "Ng'ombe Aliyekatwa Mkia" Bado hujakumbukwa kwenye uteuzi?!
Mkuu kupenda machangu na kuzaa na wake za watu kipi kina nafuu?????Well... Mpendazoe mimi nimekuelewa sana lakini nadhani wengi watakutukana. Maswali yako ni mazuri sana na kila mtanzania aangekuwa anajiuliza hivi hawa wanasiasa wasingetuchezea tena! Eti wakati anasafiri na machangu mpaka USA, CCM ilikuwa nzuri lakini wakati hana hiyo nafasi ndio anaiona CCM mbaya. Na wajinga watamwita ni shujaa!
Mafisadi hawatakiwi kujiunga chadema wanatakiwa kupelekwa ile mahakama ya mafisadi wahukumiwe kwa mujibu wa sheria zetuTunataka kuona mafisadi wote wamejiunga Chadema. Wacha CCM izaliwe upya.
Na wewe usijisahau huna mkia, ngoja Magufuli ajaze zile nafasi 9 za Madc zinazokutowa akili ndio utakumbuka huna mkia.LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.
Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?
Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?
So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"
Ameandika,
Pio Pius....[emoji41]
pumzika ndugu yangu...
tuchukulie kuwa ametumia haki yake inatosha...