Kumbe Lazaro Nyalandu anakimbia mambo !!

LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?

Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?

So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"

Ameandika,

Pio Pius....
Mpendazoe hufai kuwa mwanapropaganda umri ushakupita mkono...umezeeka subiri tu pension ya uzee!
 
Jamani leo nimepitwa. Kwani NYALANDU kahamia chadema??? Amefanya interview au???? Lini ?? Na saa ngapi ???

Muulize huyo fred hapo juu atakwambia, moe mwenyewe nashangaa eti Nyalandu anakimbia mambo, sijui mambo yapi na anakimbia kwenda wapi
 
Umeandika baada ya kufikiri au unapiga miayo tu! Mpelekee salamu Polepole kwamba chungu kimepasuka!
 
Nyalandu angeweza kukaa CCM kama kina Chenge na Tibaijuka na asifanywe chochote. Tena ubunge ndo kwanza mwaka wa pili sasa nikushangae wewe Fred ulihama CCM ukatangatanga baada ya kuona ukomo wa ubunge umeisha na huna nafasi. Ulitangatanga mwishowe njaa ikakurudisha na bado unaonekana msaliti tu. Mwenzio angeweza kubaki huko na asifanywe chochote na nzi wa Lumumba. Umenipata? Ameumia kutokana na watu kushambuliwa kwa risasi mchana huku watu wakiendelea kula bata bila kuchukua hatua
kwendaaaaaaa
Upo sahihi
 
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?

Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?

So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"

Ameandika,

Pio Pius....
Kabla ya kuhama ulikuwa wapi kuandika haya yote...... Mahakama ya Mafisadi tangu imefunguliwa ina muda gani, mbona hatujaona file lake linasomwa...... Wewe ni mjuvi unayewatambua viongozi wote wa CCM tutajie ambao unahisi wana harufu ya ufisadi kabla hawajang'atuka... Usije tuaminisha kuwa waliobaki CCM ni Pure.
 
Mshaanza propaganda
Mchungaji Peter Msigwa aliyekuwa na nyundo ya kuipigia Wizara ya Maliasili na Utalii kama picha inavyoonyesha hapa chini kwa sasa ameguka kuwa agent wa ufisadi,bila chenga Msigwa kamchana Nyalandu.
Msigwa+px.jpg

Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii, Peter Msigwa ameonyesha video inayobainisha namna baadhi ya kampuni za uwindaji nchini zinavyotumia vibaya leseni zao na kufanya ujangili.
 
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?

Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?

So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"

Ameandika,

Pio Pius....
Ulipaswa kuwa mtu wa mwisho kusema lolote!
 
Nyalandu angeweza kukaa CCM kama kina Chenge na Tibaijuka na asifanywe chochote. Tena ubunge ndo kwanza mwaka wa pili sasa nikushangae wewe Fred ulihama CCM ukatangatanga baada ya kuona ukomo wa ubunge umeisha na huna nafasi. Ulitangatanga mwishowe njaa ikakurudisha na bado unaonekana msaliti tu. Mwenzio angeweza kubaki huko na asifanywe chochote na nzi wa Lumumba. Umenipata? Ameumia kutokana na watu kushambuliwa kwa risasi mchana huku watu wakiendelea kula bata bila kuchukua hatua
kwendaaaaaaa
Mchungaji Peter Msigwa aliyekuwa na nyundo ya kuipigia Wizara ya Maliasili na Utalii kama picha inavyoonyesha hapa chini kwa sasa ameguka kuwa agent wa ufisadi,kamchana Nyalandu Live enzi hizo.
Msigwa+px.jpg

Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii, Peter Msigwa ameonyesha video inayobainisha namna baadhi ya kampuni za uwindaji nchini zinavyotumia vibaya leseni zao na kufanya ujangili.
 
Ningekuwa wewe Mpendazoe ningekaa kimya. Kumbuka mbwembwe zote ulizoshusha wakati unahama CCM na kujiunga Chadema? Ulidhani watakuchukua kama almasi kumbe walijua wewe ni mchumia tumbo. Mara mbili unagombea unatoka nunge ndo ukalamba matapishi yako.
Kila mtu anayejiunga chama anaangaliwa kwa vigezo na mvuto alio nao kwa jamii. Wewe kaa kimya naona wamekusahau hata uteuzi huu. Muulize Shonza alitumia mbinu gani kufikia hapo alipo.
 
Back
Top Bottom