Kumbe Lazaro Nyalandu anakimbia mambo !!

mzee kaaga kimya unajiaibisha nchi kwa sasa inaelekea shimoni kwa kasi mno kila mtu anaona njaa isikuvue utu wako.
Hakuna njaa hapa. Hata CHADEMA tulihoji sana kuhusu Twiga wetu kupanda ndege. Au siku hizi tumegeuka mtambo wa kutakatifisha MAFISADI?
 
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?

Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?

So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"

Ameandika,

Pio Pius....[emoji41]

Hii tunaita a punch on the nose.
CCM imepoteza dira kwa wapiga madili.
 
Mpendazoe taratibu na mdomo wako, wapo wengi wataondoka ccm, wewe subiria ukuu wa wilaya
 
Ccm watu walikua na njaa wote magufuli ndio wanamuona mkombozi wao soon watamgeuka wakizidiwa sana na njaa
 
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?

Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?

So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"

Ameandika,

Pio Pius....[emoji41]
Mkuu namba yako ya simu umesahau kuandika kma wafavyo wahuni wenzio watafuta teuzi
 
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Je Bwana Waziri h

Ameandika,

Pio Pius....[emoji41]
we jamaa bora ulinyang'anywa ubunge na ssm. ulikoma. wakati mwingine yafaa tuwashukuru massm.
 
Usiwe mjinga kufananisha vitu ambavyo havifanani!! Kwani Nyarandu akiwa waziri JPM alikuwa mwenyekiti wa CCM au Rais?!
Umemuuliza swali lenye thamani kubwa sana. Nyalandu hajasema ccm ni mbaya tokea zamani bali kasema hii ya sasa (mean chini ya jpm) ni ya hovyo isiyo fuata katiba wala sheria.
Fred kaishiwa akili kabisa sijui ni njaa au ugonjwa
 
Na huu ndio upumbavu wenu!.

Mlifahamu Nyalandu ni mharifu, na hamkumchukulia hatua za kisheria kwa kuwa alikuwa ccm. Sasa ameamka na kuona ubora wa kusimama na wapenda kweli, ndiyo mnatuletea hadithi, alikuw avile alikuwa vile. Mlikuw aapi kuchukua hatua kama mlifahamua alikuw amahrifu katikati yenu?

Naomba ujiangalie vile unavyobaki utupu!. Hii unadhihirisha ccm haina lolote la kuwasaidia Watanzania zaidi ya kufuga uharifu. Hii inakwendana sambaba na kuidhinisha uvunjifu wa sheria za nchi kuwa nguzo yenu ya chama kwa kubariki umwagaji damu isiyo na hatia ikiwa ni pamoja na kuwapandisha vyeo watenda jinai!

Bila shaka wewe ndiye yale wanayasema maraisi wangu kuwa ni MAPUMBAVU. .Huna lolote kwa taifa no wonder umeishia kuw apopo usiyekubalika kkotekote.

Propanda na uanfiski wako haukusaidii!. Sana sana hata hapa unaonyesha majuto ya uamuzi wako wa kipuuzi ulioufanya ukadhani utapewe uwazri. Imekula kwako. Acha wenye vichwa vya kuelewa waelewe, wajute na wabadilike.

Upumbavu huu haukubaliki hata chembe. Eti mharifu anakimbia mambo, mlikuw awapi kumchukulia hatua za kisheria wakati uharifu kaufanya kwenu mkiwa naye?
Tatizo lenu ndio hili ....sasa kwavile hakuchukuliwa hatua ndio msafi? Akidakwa mtasema anaonewa ....tunawasoma tu ..
 
Nyarandu alikuwa akipewa order kutoka ikulu za kina kinana,na jk..huwez kuniaminisha kuwa wale twiga lilikuwa dili la nyarandu af ikulu ilikuwa haijui...that's wrong
 
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?

Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?

So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"

Ameandika,

Pio Pius....[emoji41]
Mkuu kutumbushe na kivuko kibovu,Nyumba za NHC kuhongwa mahawara, tukumbuke kwann tanroad hakufanyiwi uchunguzi,tukumbuke aliyesema za sethi na luge siyo Mali ya umma, tukumbuke rais WA China alivyoondoka na shehena bila kukaguliwa,tukumbuke makoleo ya dhahabu kwa mkapa,tukumbuke kiwira mmiliki wake,

Haya hamyaoni mmevaa miwani ya mbao....Siku MTU akiwahama ndiyo macho yenu yanaona.....inauma mwanaume kuwa na tabia za kike kike.....
 
Mpendazoe siku hizi huna tofauti na Giggy Money!

Hahahahahaah....Mkuu umemkosea heshima Gigy Money..yeye ni professional! Wengine ni wachumia tumbo....

Mkuu kuwa upinzani kwenye nchi kama Tanzania inataka MOYO na UTHUBUTU. It is very cold outside!

I am sure Nyalandu ameshajiandaa kisaikolojia kupambana na watu wasiojulikana.
 
Nyalandu amefanya uamuzi wa kishujaa na amewaeleza ukweli mtupu......

Nyinyi maccm mnaendesha propaganda zenu.......

Lakini ukweli unabaki pale pale, alichoongea Nyalandu ndiyo ukweli wenyewe kuwa Chama Cha Mapindizi kinaelekea shimoni kufukiwa kwa kuendesha siasa kwa risasi, kutotaka kukosolewa na kuendesha nchi kibabe!

Message sent and delivered.
CCM haikufa mikononi mwa JK hadi Kingunge akaondoka ife chini ya Bulldozer JPM? ....Hebu kubalini ukweli ili uwasaidie kujipanga ....otherwise msitegemee matokeo tofauti kwa mbinu zile zile .....anayefikiri CCM inakuwa dhaifu kipindi hiki kuliko last 10 yrs ana matatizo ....
 
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?

Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?

So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"

Ameandika,

Pio Pius....[emoji41]
Kuweni na akiba ya maneno CCM ina wenyewe, wao hawajatoa kauli zao bado
 
Safari ya Nyalandu na CCM ilikuwa safari ya NIPE-NIKUPE.. Now as the party has nothing more to give the ex minister who (in effect) has nothing (more) to give his ex Miss Tz makes the end to that journey...
Muda c mrefu tegemea kusikia Nyalandu kaachika! 🙄

Mtamtukana saana ila nadhani na yeye aliyajua haya yatamfuata. Tatizo ni kuwa, mtu ka Fred hana udhu wa kumsema si Nyalandu wala mtu yeyote. Tunamjua Fred ni "Ng'ombe aso na mkia". Kuhusu ati anakimbia moto utakao muwakia; Naomba kufahamishwa. Mtu mwenye akili, utakimbia kutoka Singida ukimbilie Arusha kuukimbia mkono wa sheria?? Kwa nini mnatuaminisha kwamba mtu akiwa ccm hufubaa akili?? Juzi tu alitokea USA, kama ni kukimbia si angekimbilia huko?? Juzi tu alitokea Nairobi kumwona TL ka ni kukimbia si angelitimkia huko?? Acheni kumtakia mtu mabaya jamani, hadi mnafika mahali pa kumtamani mkewe?? Ptuuuu! This is total absurd.
Uandishi wa kitoto sana huu Fred, leta kingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom