Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,016
- 142,779
Say what?
Huo ni ukweli na Sio propaganda na unajua Hilo . Ipende nchi yako TzMshaanza propaganda
Wakati anafanya hayo kwa nini CCM ilikaa kjmya?Well... Mpendazoe mimi nimekuelewa sana lakini nadhani wengi watakutukana. Maswali yako ni mazuri sana na kila mtanzania aangekuwa anajiuliza hivi hawa wanasiasa wasingetuchezea tena! Eti wakati anasafiri na machangu mpaka USA, CCM ilikuwa nzuri lakini wakati hana hiyo nafasi ndio anaiona CCM mbaya. Na wajinga watamwita ni shujaa!
Vipi dragon??? Ulisha wahi jiuliza hivi TANROAD ni kusafi kweli?? Mbona baba jurgen hakugusi?????Watu Badala ya kujibu hoja wanamshambulia mleta mada! Ni dalili ya kukosa hoja na kushindwa kusafisha makapi yao.
Pambafff Mpendazoe! Hili ni tusi rasmi wewe ni mangapi ya hovyo ulifanya kishapu?Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu atangaza kujivua Ubunge wa Jimbo hilo. Amwandikia barua Spika wa Bunge. - Amesema CCM imepoteza uelekeo na kuomba Wanachama wa CHADEMA kama wataona inafaa wamkaribishe.
Nitashangaa kama Chadema watampokea Nyalandu, kwa sababu:-
1. Nyalandu anatuhuma nyingi sana za ufisadi alioufanya wakati akiwa Waziri wa Maliasili, kitendo cha kumpokea Nyalandu itakuwa sawa na Chadema kubariki ufisadi kwa kukaribisha mafisadi.
2. Chadema tutazidi kujimaliza, wapinzani wetu watatuita tumekuwa Chama Cha Mafisadi na kwamba tumetoka kwenye ajenda yetu ya kupambana na ufisadi. Si unakumbuka tulivyobamizwa wakati wa uchaguzi 2015 tulivyowapokea Mafisadi Lowassa na Sumaye, hali hii itajirudia tena kutwangwa tutakapo mpokea Nyalandu.
3. Nyalandu si msafi na kila kona anajulikana kwa umalaya uliopitiliza, kitendo cha kumpokea Chadema kutatuchafua kwa jamii. Nadhani mnakumbuka sakata lake la kwenda nje ya nchi na Msanii Aunty Ezekiel jinsi tulivyomponda kuwa ni Malaya. Itakuwa jambo la ajabu tukila matapishi yetu.
4. Tusisahau pia sisi Chadema tulimshambulia sana Nyalandu kuuza nyala za Serikali na kuruhusu Wanyama pori kusafirishwa nje ya nchi. Kumpokea ni sawa na kula matapishi yetu, ni sawa na kujigeuza jalala la kupokea wachafu.
5. Nyalandu anakuja kuleta mgogoro mkubwa kati yake na Lema kwani lengo lake haswa ni kuja kugombea Ubunge Arusha Mjini. Kweli tumtenge Lema kisa takataka Nyalandu? Sikubali upuuzi huo.
6. Nyalandu ana tuhuma za kujihusisha na ushoga na ndoa za jinsia moja, kumpokea Nyalandu ni sawa na kuonekana tunakumbatia ushoga na ndoa za jinsia moja.
7. Nyalandu anakwepa madudu aliyoyafanya. Amejimilikisha sana vitalu, kuuza wanyama hai, kupora nyala za Serikali, kujihusisha na ujangili. Ni mtu ambaye atapandishwa muda wowote Mahakamani, hatufahi!
8. Nyalandu ni CIA mwenye uraia wa nchi mbili (Tanzania na Marekani), Chama chetu ni kichanga tusiruhusu CIA kuja kutuchunguza na kuvujisha siri zetu. Hatutabaki salama Chadema.
Haka kajamaa kanazeeka vibaya...labda anaganga ganga walau nafasi za wilaya zilizoachwa wazi baada ya wenye tuhuma za kuharibu mali na kutoa rushwa kupandishwa vyeo!Mkuu pambana na hali yako ya kimaisha,
Inakuuma nini wewe Nyarandu kuondoka CCM
Ni maamuzi yake kikatiba kusesema sana hatabadili maamuzi yake
Wala hataki ushauri wako sababu kama angekuwa ahauhitaji angekutafuta
Kuhusu hoja yako namba tatu, Yesu Kristo alisema, 'Alieye msafi [kwa hili] na awe wa kwanza kumtupia mawe Nyalandu...3. Nyalandu si msafi na kila kona anajulikana kwa umalaya uliopitiliza,