Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,564
- 109,103
Maisha ni magumu huku nyumbani, mzee anatumia mbinu zote ili afikiriwe na Magufuli, lakini bahati mbaya alishakatwa mkia.Say what?
Mambo siyo wazee wazima wanahadhirika Bongo.
Maisha ni magumu huku nyumbani, mzee anatumia mbinu zote ili afikiriwe na Magufuli, lakini bahati mbaya alishakatwa mkia.Say what?
kuna mzungu mmoja katika kanisa flani pale arusha huwa anamfata fata sijui naye huyo ni CIA???CIA kumbe wanakuwa na Uraia wa Nchi Mbili/...
Mwambie Nyalandu ajibu hizo hojaVita vya kuutafuta ukuu wa wilaya... Anasahau mwenye chama alishamwambia amekatwa mkia....
Lini nchi ilikuwa katika mstari?
Na lini wananchi hawakuwa na njaa?
"2.Chadema tutazidi kujimaliza,....." Kwanza tangu lini wewe ni Chadema???
@Mpendazoe huu ni uzi wa tatu the same topic ndani ya lisaa 1 tu.Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu atangaza kujivua Ubunge wa Jimbo hilo. Amwandikia barua Spika wa Bunge. - Amesema CCM imepoteza uelekeo na kuomba Wanachama wa CHADEMA kama wataona inafaa wamkaribishe.
Nitashangaa kama Chadema watampokea Nyalandu, kwa sababu:-
1. Nyalandu anatuhuma nyingi sana za ufisadi alioufanya wakati akiwa Waziri wa Maliasili, kitendo cha kumpokea Nyalandu itakuwa sawa na Chadema kubariki ufisadi kwa kukaribisha mafisadi.
2. Chadema tutazidi kujimaliza, wapinzani wetu watatuita tumekuwa Chama Cha Mafisadi na kwamba tumetoka kwenye ajenda yetu ya kupambana na ufisadi. Si unakumbuka tulivyobamizwa wakati wa uchaguzi 2015 tulivyowapokea Mafisadi Lowassa na Sumaye, hali hii itajirudia tena kutwangwa tutakapo mpokea Nyalandu.
3. Nyalandu si msafi na kila kona anajulikana kwa umalaya uliopitiliza, kitendo cha kumpokea Chadema kutatuchafua kwa jamii. Nadhani mnakumbuka sakata lake la kwenda nje ya nchi na Msanii Aunty Ezekiel jinsi tulivyomponda kuwa ni Malaya. Itakuwa jambo la ajabu tukila matapishi yetu.
4. Tusisahau pia sisi Chadema tulimshambulia sana Nyalandu kuuza nyala za Serikali na kuruhusu Wanyama pori kusafirishwa nje ya nchi. Kumpokea ni sawa na kula matapishi yetu, ni sawa na kujigeuza jalala la kupokea wachafu.
5. Nyalandu anakuja kuleta mgogoro mkubwa kati yake na Lema kwani lengo lake haswa ni kuja kugombea Ubunge Arusha Mjini. Kweli tumtenge Lema kisa takataka Nyalandu? Sikubali upuuzi huo.
6. Nyalandu ana tuhuma za kujihusisha na ushoga na ndoa za jinsia moja, kumpokea Nyalandu ni sawa na kuonekana tunakumbatia ushoga na ndoa za jinsia moja.
7. Nyalandu anakwepa madudu aliyoyafanya. Amejimilikisha sana vitalu, kuuza wanyama hai, kupora nyala za Serikali, kujihusisha na ujangili. Ni mtu ambaye atapandishwa muda wowote Mahakamani, hatufahi!
8. Nyalandu ni CIA mwenye uraia wa nchi mbili (Tanzania na Marekani), Chama chetu ni kichanga tusiruhusu CIA kuja kutuchunguza na kuvujisha siri zetu. Hatutabaki salama Chadema.
.Hapa mkuu nakuuliza tuu?? Tanroad hakuna madudu??
Nawakumbusha sasa:
Chenge yupo hajahama...
Tibaijuka yupo hajahama...
Kinana yupo hajahama....
Jk...japo anakinga
Mkapa...japo anakinga
Mwinyi ,nadhan unakumbua makandokando yao...
Au mnasubiri wahame ndo mje kuwatusi na kuwatishia kuwafunga????
Mtaani kugumu usisikie, wakiwaga madarakani wanawasanifugi vijana ati waache kukaa vijiweni waajiliwe, sasa angalia kinachotokea kwao wakipigwa benchi ulimi nje.Huu ni uzi wa pili kwa mpigo inaanzishs