Kumbe Lazaro Nyalandu anakimbia mambo !!

Usaliti ni laana mbaya sana na itakutafuna hadi kaburini , wewe Mpendazoe ndio wa kuhoji uamuzi wa Nyalandu ? Alivyoenda kumuona Lissu Nairobi mbona hukuandika porojo kama hizi ?

Hii ni siasa ya kiwango cha juu sana mkuu ukileta fyokofyoko TUTAKUANIKA VIBAYA SANA ! Tenda haki uheshimiwe usilete uzushi , kisa UDC unaoutafuta kwa udi na uvumba , siasa za kishamba waachie akina Jerry Murro .
 
1/ Actually, kama ana madhambi yote unayosema hapa, ujanja ni kubaki CCM. Kukimbilia upinzani, tena Chadema si ujanja kama unajua uko vulnerable.

2/ Mbona ulikuwa kimya muda wote hukusema yote haya? Je, ghafla Nyalandu amekuwa mshirika wa jangili lililokamatwa na risasi 356 baada ya kutanganza anaacha kuwa mwanachama wa CCM?
 
Mlifahamu Nyalandu ni mharifu, na hamkumchukulia hatua za kisheria kwa kuwa alikuwa ccm. Sasa ameamka na kuona ubora wa kusimama na wapenda kweli, ndiyo mnatuletea hadithi, alikuw avile alikuwa vile. Mlikuw aapi kuchukua hatua kama mlifahamua alikuw amahrifu katikati yenu?

Naomba ujiangalie vile unavyobaki utupu!. Hii unadhihirisha ccm haina lolote la kuwasaidia Watanzania zaidi ya kufuga uharifu. Hii inakwendana sambaba na kuidhinisha uvunjifu wa sheria za nchi kuwa nguzo yenu ya chama kwa kubariki umwagaji damu isiyo na hatia ikiwa ni pamoja na kuwapandisha vyeo watenda jinai!

Propanda na uanfiski wako haukusaidii!. Sana sana hata hapa unaonyesha majuto ya uamuzi wako wa kipuuzi ulioufanya ukadhani utapewe uwazri. Imekula kwako. Acha wenye vichwa vya kuelewa waelewe, wajute na wabadilike.

huu haukubaliki hata chembe. Eti mharifu anakimbia mambo, mlikuw awapi kumchukulia hatua za kisheria wakati uharifu kaufanya kwenu mkiwa naye?
 
Nyalandu amefanya uamuzi wa kishujaa na amewaeleza ukweli mtupu......

Nyinyi maccm mnaendesha propaganda zenu.......

Lakini ukweli unabaki pale pale, alichoongea Nyalandu ndiyo ukweli wenyewe kuwa Chama Cha Mapindizi kinaelekea shimoni kufukiwa kwa kuendesha siasa kwa risasi, kutotaka kukosolewa na kuendesha nchi kibabe!

Message sent and delivered.
 
Hawa puplis pawa kila mwenye ulafi na urahisi anakimbilia huko sasa sijui watamchagua nani mbaya zaidi hata wananchi hawawezi kuwaelewa kwani CV zao na uadilifu wao unajadiliwa kwa kiwango kikubwa
 
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.
.
Well... Mpendazoe mimi nimekuelewa sana lakini nadhani wengi watakutukana. Maswali yako ni mazuri sana na kila mtanzania aangekuwa anajiuliza hivi hawa wanasiasa wasingetuchezea tena! Eti wakati anasafiri na machangu mpaka USA, CCM ilikuwa nzuri lakini wakati hana hiyo nafasi ndio anaiona CCM mbaya. Na wajinga watamwita ni shujaa!
 
Kama mtu ana ma miradi yake kaisha wekeza yana kosa usimamizi mzuri kwanini usiachane na siasa pasua kichwa ukaenda simamia miradi yako... kwanza na dhani ni wakati mzuri kupata time na familia yako naku enjoy...
 
Wanazidi kuja tu wakiwa wengi ndio hapo tutakapojua mbivu na mbichi walizokuwa wakifanya CCM. Tutajua pia uwizi wa kula na fitina za kugawa chumvi na Kanga kwa wakina mama vijijini.

Subirini tu, Combination inajiteneza yenyewe, hapa Tundu Lissu, pale Nyarandu Singida hapatatosha.
 
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?

Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?

So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"

Ameandika,

Pio Pius....
Karibu utapata ajira, kazana. Jerry naye anakuja kwa kasi asije akakuwahi. Bila kusahau Paskali naye ni mshindani wako na wote ni watoto wa nyumbani.
 
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?

Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?

So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"

Ameandika,

Pio Pius....
Maswali mengi yaliyoulizwa humu naona mtu sahihi wa kujibu ni PINDA na JAKAYA KIKWETE
 
Huyu bwana baada ya kuwaleta maseneta Kwa Magu nae akagoma kuonana nao anaumia mnoo, tena bahati mbaya sana alitaka wampigie chepuo aupate Uwaziri na bado
 
mpenda-zoe
mpenda-pesa
mpenda-kula
mpenda-uongo
mpenda-dezo
mpenda-----
majina yote hayo yana herufi ndogo, yanakufaa sana, hujui ukitakacho,huna life goals;ndo maana unaongea utumbo. siku zote ulikuwa wapi? kipindi ndege zinatua, zinapakiwa twiga na kima hukuwepo? why now? mzee unazeeka vibaya sana. kama una wajukuu kawalee labda watakukumbuka ukishakufa, kwa Tanzania umeshachelewa hutakubumbukwa kwa lolote zaidi ya unafiki na kigeugeu.
 
Back
Top Bottom