Kumbe kweli JF ni vichwa kweli!!!

Kumbe kweli JF ni vichwa kweli!!!

gubegubekubwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2008
Posts
685
Reaction score
962
Wana JF mimi sikuwa member wa JF lakini nilikuwa nashinda kila siku humu kusoma hoja za watu mbalimbali na michango ya watu ya kisiasa,kiuchumi na kijamii.

Nimegundua kwamba level of thinking ya member wa JF ni kubwa sana, kweli JF ni great thinker,Nimejifunza mambo mengi sana kupitia hapa mpaka nikaamua nijiunge tu niwe member.

So nikaribisheni JF wajameni!
 
Attachments

  • Nyerere ujanani.jpg
    Nyerere ujanani.jpg
    22.9 KB · Views: 68
Mkuu vipi????????????!!!! Ebu cheki joining date yako!! Au ndio uchakachuaji!!!!! Ina maana toka muda muda huo wee bado ni mgeni!!!
 
wana jf mimi sikuwa member wa jf lakini nilikuwa nashinda kila siku humu kusoma hoja za watu mbalimbali na michango ya watu ya kisiasa,kiuchumi na kijamii.nimegundua kwamba level of thinking ya member wa jf ni kubwa sana,kweli jf ni great thinker,nimejifunza mambo mengi sana kupitia hapa mpaka nikaamua nijiunge tu niwe member.so nikaribisheni jfwajameni!!!1View attachment 19406
 
Karibu sana Junior, laini hiyo picha ya mkulu anaendana vipi? Au ulitaka kuiweka kama Avatar ikagoma?
 
Wana JF mimi sikuwa member wa JF lakini nilikuwa nashinda kila siku humu kusoma hoja za watu mbalimbali na michango ya watu ya kisiasa,kiuchumi na kijamii.

Nimegundua kwamba level of thinking ya member wa JF ni kubwa sana, kweli JF ni great thinker,Nimejifunza mambo mengi sana kupitia hapa mpaka nikaamua nijiunge tu niwe member.

So nikaribisheni JF wajameni!

Hiyo picha ukiishusha chini, sio ile ya huyo mjamaa na kaptura? karibu!
 
we umefufukia wapi au ulikuwa umetekwa nyara leo ndo unagundua uzuri wa jf?basi we tutakutupa kwenye kundi la wasioijua jf miaka yote hiyo ................loh

Spare him gal.Mkaribishe 2.Karibu bana.
 
Mkuu vipi????????????!!!! Ebu cheki joining date yako!! Au ndio uchakachuaji!!!!! Ina maana toka muda muda huo wee bado ni mgeni!!!
we kwel ni babu_wa2 wanakalia kumkaribisha m2 kumbe ni mwenyeji, ngoja waende kuoga halafu wafanyiwe mambo ya kuibiwa taulo washindwe kutoka bafun
 
Back
Top Bottom