ulichoulizwa sio ulichojibu. ila ubarikiwe sana kwa ufahamu wako.
Sasa kama ukiangalia huzioni basi huyo shetani 666 hawezi kukuletea taabu, if at all 666 ni shetani badala ya namba. Na ukisoma tu comment yangu umekwisha maana sita zangu hazikujificha.
Unajua hii ni sawa na mtu leo aje akwambie kwamba maziwa ni sumu. Kama unajua kwamba maziwa ni sumu na yanaua, na wewe umekua ukitumia maziwa kwa muda mrefu bila kujua kwamba ni sumu, kisha akaja mtu akakwambia kwamba maziwa ni sumu, na wewe ukaacha kutumia bila kuangalia yamekuathiri vipi (Kama kweli ni sumu) itakua si busara.
Kama mleta uzi anajua madhara ya 666 na amekua akitumia google chrome bila kupata madhara ya hiyo 666 matokeo yke anakuja mbio kutoa tetesi za 666, nashindwa kuendelea na maelezo ya kuelezea hiyo hali.
You evaded the central question concerning the stated biblical authority against the lukewarm.
The church should heed that scripture and either embrace scrutiny completely or outlaw it vehemently.
It us not doing so, hence going against biblical authority.
I am not sure if you grasped this contradiction, as you have not addressed it.
Your point here is that scrutiny in the scriptures is being done but impartially. Which school of thought advocates that it shouldn't be otherwise but fully? As I stated before, the problem here is that you are trying to employ your own means of knowledge inquiry into a discipline that they (such means) are completely irrelevant!
Wapendwa katika pitapita zangu leo kuna mtu kanifungua kitu baada ya kunieleza habari za ushetani mitandaoni na kimoja alichoniambia ni kuwa niache kutumia google chrome maana ukiangalia nembo yake kuna alama ya sita tatu zilizowekwa kiutaalam mtu asizione ..hii ni kukuteka wewe .....jamani wengine mtujuze kama mnayajua.......
Hakikaa mimi zezeta ! nimetoa mimacho,kodolea mpaka basi namtafuta huyo kibwengo kwenye hiyo nembo sioni kitu!hebu nitoeni tongo tongo nami nimuone huyo kibwengo!Ndio nembo yenyewe hiyo?Hizo 666 ziko wapi?mbona sijaziona,nisaidie kuzitambua mkuu!
kumbe mambo ya dini bwana.ipelekwe kule@mods hamisha hii kitu peleka kule Dini/Imani
Halafu mkiambiwa dini ni mass delusion mnakataa!
imeandikwa : maisha si kula na kunywa tuMimi haya maswala ya Freemason nimesha yachoka jamani!! Sasa hizo 666 hata ziwe mpaka Chooni wewe zinakuhusu nini, zinakunyima kula wewe?? Kama huo ushetani si wao kwani wako ???? Acha utahira wewe! Usiishi maisha ya Movie! Yani jitu zima na midevu unaleta mada za kipuuzi hapa! Umelazimishwa kutumia Google? Alaaaah
mie nimeona 999. jee pia niache kutumia chrome??Wapendwa katika pitapita zangu leo kuna mtu kanifungua kitu baada ya kunieleza habari za ushetani mitandaoni na kimoja alichoniambia ni kuwa niache kutumia google chrome maana ukiangalia nembo yake kuna alama ya sita tatu zilizowekwa kiutaalam mtu asizione ..hii ni kukuteka wewe .....jamani wengine mtujuze kama mnayajua.......
thibiitishaKwani ulikuwa hujui? Kuna ushetani sana humu