Kumbe kuna bando za bei rahisi hivi?

Kumbe kuna bando za bei rahisi hivi?

Foffana

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2022
Posts
2,827
Reaction score
4,683
Happy Valentine day Vincenzo Jr na shemeji yangu

Huku halotel nimechelewa kweli aisee

Zamani mtu unaunga bando la 500 unapata MB 246 ukiingia JF tu hata dakika 5 hauchukui, unaambiwa bando limeisha

Leo ndo nimekuja kujua kuwa kumbe kuna zile special bundles aisee na sio kwa halotel tu hadi mitandao mingine

Yaani Gb 1 nimenunua kwa 900 kutoka 2100 aisee wametisha sana hapa mwendo wa kuperuzi tu

Ibarikiwe JF
 
Back
Top Bottom