Kumbe kubeba mimba si mchezo!

Sijaexperience hilo ila penda sana kuperuzi a healthy baby jinsi yakumpata nini ule , kuepuka kutapikA ,kuwa na wewe na afya njema . Hadi mwisho uende kujifungua
 
Wanakuza mambo hawa wanawake
 
So wanajidekeza?? Dah.
 
Na hapo bado siku ya kujifungua utalia kama mbuzi Meeeeee
 
Ukisikia kichefuchefu tapika usijizuie kutapita ndio kidogo unapata ahueni. Na uombe Mungu sana hyo Hali ikate mapema kuliko ukakaa nayo miezi 9.
 
Mie mimba zote namchukiaga baba balaaπŸ˜†...anafatia hubby..napenda ugomvi mno mno..dah...kula ndo kama mchwa
🀣🀣🀣🀣Ila nyie mimba zenu za kuchukia watu Nyieee....mie mimba ya baby boy ndio nilikuwa nasikia kila mwanaume ana kijasho kibaya kama Cha beberu ila nilikuwa siwachukii
 
Mnadekezana sana wa mjini!

Anyway mazingira ndo chanzo cha huo ushauri,
Kijijini mimba uwe nayo usiwe nayo shughuli zinakusibiri na kituo cha ushauri sio hapo karibu!

Kuna mzee 1 nilionyeshwa pale mpakani Sirari yeye mkewe kila akizaa mtoto wa kike asubuhi yake ni shambani tu, Mungu mkuu mimba ya sita kazaa mtoto wa kiume unaambiwa mzee alifanya bonge la sherehe kwa mkewe!

Cha ajabu nikaambiwa kwa baadae mkewe ndo kamshauri aoe mke mwingine wasaidizane shughuli
 
Sijaexperience hilo ila penda sana kuperuzi a healthy baby jinsi yakumpata nini ule , kuepuka kutapikA ,kuwa na wewe na afya njema . Hadi mwisho uende kujifungua
Havina formula.yaani huwezi jipanga useme.sitaki morning sickness .so unaenda tu na biti
 
Hayo ni ya huko kwenu
Huku mjini mwezi mzima tunaogeshwa kabisa.ni kula kunyonyesha tu.tena tunakamua unalala kimashine kinakukamua. mtoto anapewa maziwa huko .sisi ni kulala tu na kufanyiwa massage
Mwezi ukiisha bado hufanyi kazi labda uoge tu mwenyewe sasa ila kila kitu unafanyiwa.
 

Hata huku mjini kuna watu wana mimba na haziwasumbui wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.

Ila unapaswa kutambua kila mwili wa mtu ni tofauti. Hata huko unapopasifia sio wote wana uwezo wa kubeba mimba wakaendelea na heka heka zao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…