Kumbe kubeba mimba si mchezo!

Pole na hongera .udongo me sijawai kupenda.me maharage kila saa.nyama niliacha kabisa
 
Nimecheka kwa sauti
kwamba unatamani upige yowe
 
Pole shosti
Hapo trela subiri ile siku ifike utaimba nyimbo mpya bila kujua unalia machozi hayatoki unatamani yatoke yakufariji ila Hollah..Acha Mungu aitwe Mungu
Ova
Siku ya kawaida saaaana TU.Kwani ukiwa kwenye hedhi hupati maumivu ya tumbo!!!!
 
Hapo bado kivumbi cha uchungu ,mayo wee sitak kukumbuka
 
Ungekuwa Idete kule Dabaga Kilolo au ungekuwa Ilunde kule Inyonga Katavi umeolewa na msukuma hadi afanye vibarua vya kufyetua tofali ndio mpate pesa ya kula hayo yasingetokea. Ni kujiendekeza tu, mbona wengine wake zetu hawana hayo. Kwa watoto wote 4, sijawahi shuhudia hayo. Mungu awasaidie sana.
 
Hapo bado kivumbi cha uchungu ,mayo wee sitak kukumbuka
Mnamtisha tu na kujiendekeza. Usister do na kujiendekeza ndio unawasumbua. Wengine huku vijijini wanajifungua leo kesho anaenda shamba. Mwaka 2014, mke wangu anaenda jifungua mtoto wa 4 pale Morogoro Hospital tumemsindikiza labour nikakuta binti mmoja anapiga kelele huku anamtukana mmewe. Yule binti kila anachoambiwa na wale wakunga/manesi hasikii yeye ni kujiliza tu mara ajipige selfie mara aangalie kama makope bandia yameanguka, mara alie mbona k yangu inatanuka mara inachanika na upuuzi kibao. Wale wasaidizi wakamwambia kama unaleta ujuaji, tutakuacha ufe.

Hii ndio inayowtesa wanawake wa kisasa ila hakuna uchungu wa kutisha hivyo. Mke wangu tulimpeleka saa 7, saa 9 kajifungua Glory wetu na saa 12 tumerudi kwetu yaani walimruhusu kuondoka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…