Kumbe kubeba mimba si mchezo!

Kuna ile kutema mate inaweza kwenda na wewe hadi unaingia leba
Hapo uso haujajaa kama tofali
Ila watoto wa kiume hawatesi kama wa kike
Kama mimba ya boy hupati shida sana
Baby girl sasa daah

Weee wengine wanasema bora mimba ya mtoto wa kike...

Mimi yangu ya mtoto wa kike sikuwa natapika wala nn nilikua nakula kila kitu sikuvimba uso wala nini ngozi ilikua nzuri na kazi nimefanya mpaka ile wiki ya kujifungua

Ko mimba kila mtu na inavomjia haina mtoto flan ni bora kuliko flan
 
Pole jamani. Mimi sjawah pata hiyo changamoto nasikia tu watu wanasimulia. Jitajid kunywa tangawizi inasaidia sana kwenye kichefuchefu
 
Yaani mimi ungenionea huruma kulala shida kukaa shida.nikishiba shida njaa shida yaani nilikuwa hooi napumua pumua tu duniani hapa.ila nitarudia sijakoma hata
 
Thread nzima wewe 💯💯💯💯💯💯
 
Hongera wanawake wenzako wanatamani wapate mtoto lakini mwenyezi Mungu hajawajalia mshukuru sana Mungu wako.Hayo mambo ya kichefu chefu na complications zote zitapita na utapata mtoto na kusahau mambo ya kichefu chefu.
 
Una Akili Wewe Safi Sanaaaaaa kwa ushauri Mzuri Hata Mimi baba nimesikia Raha
 
Thread closed!!

Umemaliza kila kitu!👍
 
Kuna ile kutema mate inaweza kwenda na wewe hadi unaingia leba
Hapo uso haujajaa kama tofali
Ila watoto wa kiume hawatesi kama wa kike
Kama mimba ya boy hupati shida sana
Baby girl sasa daah
Mie ile first trimester niliteseka mnooo Kutema mate kila dk kula udongo hatari sana nikishtuka hata saa tisa uck natafuta udongo ulipo nakula nalala plus presha kushuka naanguka mpaka nipate drip ndo nakuwa sawa chakula akipandi zaidi ya kula Bagia tu na mchemsho wa samaki mbichi
plus maini ndo vyakula vyangu mpk hatua ya mwisho..Eeeeh Mtoto anatoka mbali mweeh kuitwa Mama sio mchezo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…