Kumbe kubeba mimba si mchezo!

Asante dear kwa huu mwongozo.
Natumia pregnacare ya UK na ina folic ndani ila sasa ina chefua ila ndio nimeamua siachi kumeza angalao hii miezi mitatu ya mwanzo iishe kwanza.
 
Jamani nimesikia hadi raha, ubarikiwe. I cant wait kusikia mtoto anacheza tumboni.
Kuanzia week ya 20 utaanza kusikia movements japo wengine huanza kuhisi hata week ya 16.... hua inafurahisha sana ukikagusa na kenyewe kama respond kwa kukick [emoji847] kataanza kukick usiku wa manane na wewe usingizi ndio umekolea patamu hapo, hapo weka mkono wako tumboni au wa baba ake amshike amshike hadi atulie.
 
Kuna wengine hawapati shida hata moja kila mtu na bahati yake asikutishe shoga
Hii kweli namuona hata wife akibeba mimba anacheka cheka tu siku ikifika mwenyewe anajisalimisha mchezo unaisha hajawahi zingua wala kugoma kula zaidi akiwa na mimba vitunguu weka mbali kabisa.
 
Namshukuru Mungu nina mume. Sipati picha kuyapitia haya ninayoyaona bila baba wa mtoto pembeni jamani.

Wanaume msiwe mnakataa mimba. Hiki kipindi ni kigumu sana halafu mtu aongeze na stress za kukataliwa kweli?
Hapo sawa! Jikaze yatapita tu
 
Kuna wengine hawapati shida hata moja kila mtu na bahati yake asikutishe shoga
Ni sahihi pia anatakiwa ashukuru. Kuna watu hadi kufa kwao hawajawahi pitia hiko anachopitia.

Nakumbuka mke wangu alikuwa na rafiki mama mtu mzima mmoja hajawahi kubeba mimba wala kujifungua akawa anamuuliza hivi uchungu unaumaje. Yule Mama hadi kufa kwake hakuwahi kupata mtoto.
 
HOHEHAHE nikionaga mchango wako tu lazima kiroho kiniende mbio na udenda unitoke.

Nahodha mjeuri/mgumu ambaye nimenogewa na kipande cha mua... tartiiiiiibu M.V wasakatonge naizamisha kwa utamu wako mrembo πŸ˜‹πŸ€€
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…