Kumbe Jk Bado Mtu wa Watu!

if I may ask, do you have an idea of what the inside of a class room look like?. Para ya kwanza na ya pili vinapingana... Wanaomsema vibaya JK (kama unavyodai) huwa wanasema nini kibaya juu ya yake? Je kutokwenda misibani au? Vp picha za JK msibani kwa SK zinahusiana vpi na agenda JK kuwa mtu wa watu au kutokuwa mtu wa watu? Kwa uelewa ulionyesha hapo juu sidhani kama unaweza ku-comprehend haya nilioandika sorry.

sitatumia mistari miiiiingi na nahau nyiiingi kama wewe sababu mengi umeyaandika kwa sababu ya kupenda kuandika tu,tafakari maneno haya halafu upime mwenyewe

Kumbe jk bado ni mtu wa watu hili utaweza tu kuliona kama wewe ni katika wale wanaoamini wanachokiona na si kuona kile tu wanachokiamini wao!

Karibu tena.
 
Fikiria kabla ya kutuandikia uchafu wako huku.Fanya research ndogo tu nenda pale pale Sinza wahoji wananch zaidi ya kumi waulize hivi Rais Kikwete akipata fursa ya kugombea tena utampa kura? hakuna hata mmoja atakaesema ndio hata kama mfuasi wa ccm hakuna anaempenda huyu kiumbe ila kwenye msiba lazima tuweke itikadi za vyama pembeni.
 
Ivi nyinyimagwânda mmeumbwaje kilakitu kubisha hatakama vipô wazi. Kwenye macho yenu mkubali tu uyu,mtu bd anapendwa

achana nao bwana hawa wachagga pasua kichwa tu kama ambavyo hupenda kusema wao
 
sherehe na misiba ya wapiga kura sio?ok poa,umesomeka

Kura za JK huwa sio za kupigiwa. ni za kutengenezwa na kusafirishwa mpaka kwenye vituo na kuingizwa kwenye masanduku kwa msaada wa watu wa marekani (TISS)
 
Fikiria kabla ya kutuandikia uchafu wako huku.Fanya research ndogo tu nenda pale pale Sinza wahoji wananch zaidi ya kumi waulize hivi Rais Kikwete akipata fursa ya kugombea tena utampa kura? hakuna hata mmoja atakaesema ndio hata kama mfuasi wa ccm hakuna anaempenda huyu kiumbe ila kwenye msiba lazima tuweke itikadi za vyama pembeni.

Hata huko chadema wapo watu akiwemo zitto ukiwauliza hivi slaa anafaa kugombea tena urais watakwambia hapana na wengine ukiwauliza hivi mbowe anafaa kugombea uenyekiti tena watakwambia hafai,ndio uhondo wa demokrasia huo kamanda,tujifunze kuizoea sasa,haiwezekani watu woooote wakampenda mtu ama chama fulani,ni lazima wengine watakua na chaguo lao mbadala,hiyo inakubalika,lakini kilichoonekana kwenye picha ndicho tunapaswa kukiamini kwani ndicho tunachokiona tuachane na hadithi za kwenye vijiwe vya kahawa,that is the reality,jamaa anapendwa pengine kuliko hata chama
 
Kura za JK huwa sio za kupigiwa. ni za kutengenezwa na kusafirishwa mpaka kwenye vituo na kuingizwa kwenye masanduku kwa msaada wa watu wa marekani (TISS)

Kama zile zilizoshikwa kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu 2010 na makamanda wa vinega wakiongozwa na school mate wangu victor mateni wa pale tunduma kwenye lori zikitokea zambia au?
 
Tatizoa ni serikali yake na uongozi wake sio yeye as an individual. JK as an individual hata ukikutana nae he is a very good person na mtu wa kuji mix sana kwa tabaka lolote lile ndio maana anakubalika sana.

Lazma tujue kutofautisha kati ya personality ya mtu as an individual na kazi yake na taasisi yake whether political or non political.

Umesema vizuri sana angalau wewe,tofauti na hawa wanaojiita great thinker without thinking capacity ambao wameshindwa kusema kama wewe
 
me nilichopenda hapo ni jinsi anavyotabasam katika msiba au alidhani ameenda kwene tuzo??
 
Kama hilo ndo litaondoa tatizo la umeme basi afanye hivyo haraka

sidhani,kwani chadema kwenye kampeni 2010 walisema wana mpango gani wa kuondoa tatizo la umeme ambao wewe ulikuvutia kama tutawapa nchi kama kweli ulikua unafuatilia sera zao na sio kufuata mkumbo tu?
 
me nilichopenda hapo ni jinsi anavyotabasam katika msiba au alidhani ameenda kwene tuzo??

Hivi wakiwa msibani huwa wanakua wamenuna tu,hii sikuijua hii,but hapo hata hivyo ni barabarani wapiga kura walikua wamejipanga kumsalimia kipenzi chao
 
Aibu tupu, msibani meno yote nje manake nn?
"Lulu anahitaji mrithi atahivyo!"
mbona kwenye majanga ya watanzania wa kawaida hatumuoni??
utasikia ameenda kubembea majuuuuuu!
Mnaogesha mtu aliyechafuliwa na Grisi kwa maji pekee hata takata kweli??????
 
mbona alivoenda kumzika yule mbunge wenu wa viti maalum jina nimemsahau yule aliekufa kwa ajali ya gari hamkupaza sauti hizi za ki.jinga,au kifo ni mpaka wafiwe chadema tu,pia hapa thread inahusu mapokezi anayoyapata jk kwa wapiga kura walio wengi sio msiba,thread za msiba wa kanumba zipo kibao nenda huko wako wenzako
 
Aibu tupu, msibani meno yote nje manake nn?
"Lulu anahitaji mrithi atahivyo!"
mbona kwenye majanga ya watanzania wa kawaida hatumuoni??
utasikia ameenda kubembea majuuuuuu!
Mnaogesha mtu aliyechafuliwa na Grisi kwa maji pekee hata takata kweli??????

Watanzania wa kawaida ndio nani? na wewe unakuwepo kila msiba?

Chuki zenu za kijinga wekeni pembeni. Hakuna Rais hata mmoja wa kabla yake hapa Tanzania anaefikia rikodi ya Kikwete, kila nyanja.
 
JK si kipenzi cha watu bali hutumia matukio madogo madogo kupata sifa asizostahiki. Kuhudhuria misiba si jukumu la rais. Heri angeshughulishwa na yale yanayowakwaza watanzania hata kuwaua kama umaskini wengi tungemuelewa. Sijawahi kuona rais aliyefanikiwa kuendeleza watu wake kwa kuhudhuria misiba au kufanya ziara nje. Hivyo, huna sababu ya kujihadaa kusema kuwa JK ni kipenzi cha watu. Angekuwa kipenzi cha watu angefanya kama Ian Khama wa Botswana ambaye huenda mitaani peke yake na kurejea nyumbani. Kama ni kipenzi cha watu mbona amejizungushia walinzi? Kama kuna watu anawapenda si wengine bali mafisadi na mastaa uchwara wa Bongo. Kwa uzito wa rais, hakuwa na sababu ya kupoteza muda wa umma kwenda kwenye msiba wa Kanumba. Waziri wa vijana utamaduni na michezo alitosha. Kama hakutosha basi mwanae alitosha.
 
Back
Top Bottom