Kumbe Jk Bado Mtu wa Watu!

tatizo la watanzania wali kwa wengi ni wanafiki na wengine wanachukia m2 kwa kuiga.bt wengi ni wanafiki 2
 
Du! Humu JF kuna VILAZA haki ya nani!!! Sasa mleta mada ni kilaza wa kufa mtu. Ila kwa kifupi JK angeenda msibani Nyamono au Arusha amabapo Polisi wameua kwa amri ya serikali yake ndo ungejua mtu wa watu au MAZUZU!!!

Hawa ni watu anaokula nao naye kaseama kuwa alikula nao pia anafanana nao kwni ni msanii.

Namuomba aende UDSM amsindikize Mseven!!!

Ondo a hoja dhaifu hapa.
 
Bwana msomi mkono wa jk hapo haugombewi na kina DK CHENI,acha kujitoa akili na usomi wako unaonekana kilaza tu kama sie kwa mtindo huo,na aliekwambia wapiga kura zaidi wako arusha na ud tu ni nani huyo na unamuamini?kura za arusha mjini na ud pekee zinatosha kwa urais?

Kiufupi wanaogombea mkono wa jk ni wapiga kura.
 
Mijitu mingine bwana!!!! kwa hiyo we unaona hilo ni jambo la maana sana?kweli wehu ni wengi sana nchi hii,aya bana mshangilieni rais wa misiba na sherehe.
 
Neno "Kumbe JK bado Mtu wa Watu!, na alama ya kushangaa inamaanisha kuwa JK alikuwa mtu wa watu halafu akaacha kuwa mtu wa watu, sasa leo wewe ndio unashangaa kuwa kumbe bado ni mtu wa watu!.

Eti kuna wakati ulianza kuamini JK sii kipenzi cha watu ila leo ndio umeamini kuwa ndie mwanasiasa pendwa kuliko wote kwa wapiga kura!. Kama alianzia over 82 % ile 2005 kutokana na kupendwa zaidi akapata 64% 2010, nashauri kwa jinsi tunavyompenda, tuondoe kile kipengele cha two terms kwenye katiba mpya 2015 tumpe kipindi cha tatu!.

Kiukweli jf tuna members wa kila aina, miongoni mwao ni hawa wa "kujikomba komba type"!. Siku zote JK amekuwa mtu wa watu mwanzo mwisho na hakuna kipindi au wakati wowote amewahi kuwa sio mtu wa watu!. Sasa hii kumbe yako ya leo inatokea wapi zaidi ya kujikomba komba tuu!.

Uzoefu unainyesha wanaopenda kujikomba komba ndio wenyewe kwa kujikanyaga kanyaga mara " watu wengi humu wanamuongelea vibaya" mara "ni kikundi cha watu wachache wanapotosha wengine kwa malengo maalum", which is which ili mradi full kujikomba tuu!.

Ila sio siri kujikomba komba kwa CCM kunalipa!. Tukipata wana jf wengine 10 tuu kama wewe, mbona jf itapendeza sana!.

Keep it up!.
 
Mijitu mingine bwana!!!! kwa hiyo we unaona hilo ni jambo la maana sana?kweli wehu ni wengi sana nchi hii,aya bana mshangilieni rais wa misiba na sherehe.
Kichomiz, unafikiri kuwa kichaa ni mpaka mtu aokote makopo!, tuna vichaa wengi ajabu humu jf!. Utawajua kwa contents na reasoning capacity zao!.

Tena tunashukuru posting hapa jf inafanywa kwa kuandika, ingekuwa kwa kutumia voice mail, kuna post ungefungua kuisikiliza, ingetoka sauti kubwa ya mikelele tuu hata debe tupu lingekuwa afadhali!.

Kama watu wenyewe ndio hawa!, mbona 2015 tuna kazi kubwa mbele yetu!.
 
Tatizoa ni serikali yake na uongozi wake sio yeye as an individual. JK as an individual hata ukikutana nae he is a very good person na mtu wa kuji mix sana kwa tabaka lolote lile ndio maana anakubalika sana.

Lazma tujue kutofautisha kati ya personality ya mtu as an individual na kazi yake na taasisi yake whether political or non political.
 
Kwa position yake kama rais wa jamhuri wa Tanzania yeye ni selebrite ambaye anapatikana kwa nadra sana. Kwa hiyo hataka kama hukubaliani na sera zake, unaweza kutaka kukutana kupiga picha na hata kushikana mikono na selebrite huyo. Huenda hata mimi ningekuwapo msibani hapo ningependa kutumia nafasi hiyo kushikana naye mikono na hata kupiga picha naye ingawa najua kuwa ni rais bomu.

Kwa upande mwingine sidhani kama kitendo chake cha kwenda pale kilikuwa cha busara sana kutokana na position yake. Kuna watanzania raia wengi wanaokufa kila siku na huwa hahudhurii misba yao, kwa hiyo kuhudhuria misiba ya raia selectively kutokana na umaarufu wao nadhani ni upungufu wa maono. It is possible alikuwa anahitaji sifa kutokana na coverage ya msiba huo, lakini ni sifa ambayo siyo nzuri
jk ni mtu asiefuatilia mambo ua kimsingi.....sawa msibani lakini jk yale mambo ya msingi tumeona madkatari waligoma hakutaka kukutana nao.....mambo mengi tu huwa hatokei...lakini sehemu za kuuzia sura hakosekani......
 
Neno "Kumbe JK bado Mtu wa Watu!, na alama ya kushangaa inamaanisha kuwa JK alikuwa mtu wa watu halafu akaacha kuwa mtu wa watu, sasa leo wewe ndio unashangaa kuwa kumbe bado ni mtu wa watu!.

Eti kuna wakati ulianza kuamini JK sii kipenzi cha watu ila leo ndio umeamini kuwa ndie mwanasiasa pendwa kuliko wote kwa wapiga kura!. Kama alianzia over 82 % ile 2005 kutokana na kupendwa zaidi akapata 64% 2010, nashauri kwa jinsi tunavyompenda, tuondoe kile kipengele cha two terms kwenye katiba mpya 2015 tumpe kipindi cha tatu!.

Kiukweli jf tuna members wa kila aina, miongoni mwao ni hawa wa "kujikomba komba type"!. Siku zote JK amekuwa mtu wa watu mwanzo mwisho na hakuna kipindi au wakati wowote amewahi kuwa sio mtu wa watu!. Sasa hii kumbe yako ya leo inatokea wapi zaidi ya kujikomba komba tuu!.

Uzoefu unainyesha wanaopenda kujikomba komba ndio wenyewe kwa kujikanyaga kanyaga mara " watu wengi humu wanamuongelea vibaya" mara "ni kikundi cha watu wachache wanapotosha wengine kwa malengo maalum", which is which ili mradi full kujikomba tuu!.

Ila sio siri kujikomba komba kwa CCM kunalipa!. Tukipata wana jf wengine 10 tuu kama wewe, mbona jf itapendeza sana!.

Keep it up!.
unaboa sana wewe kudadadadadeki
 
mnaona hiyo style ya kusalimiana na umati wa wa2 kwa k2mia shotoooo?
iinaelekea ni kweli yeye ni miongon mwa memberz wa freemasons, et wadau eeeh?
 
Jk anapenda umaarufu wa kijinga, umeona wapi rais wa nchi menye majukumu ya kuwatoa wananchi wake kwenye umasikini anahudhuria misiba siku nzima....m..she...n..z...i sana huyu hana lolote...anapendwa na watu msibani? Sasa ulitaka akifika msibani watu wanune au wampige mawe????
 
Ivi nyinyimagwânda mmeumbwaje kilakitu kubisha hatakama vipô wazi. Kwenye macho yenu mkubali tu uyu,mtu bd anapendwa
 
hao watu wamemfata jk au yeye ndo kawafata??!!
upenzi hapo hakuna labda upenzi wa kinafiki na woga wa kitoto
 
Kwenye lile jukwaa la celebrities, chit chat, JK ni maarufu sana ila jukwaa la siasa ndo balaa. he doesn't fit.
JK ni RAISI WA SHEREHE NA MISIBA na huko ana umaarufu wa kupindukia
 
hodi hodi manaJF, wakongwe, wazoefu na wachanga kama mimi, nimekuwa nikipita 2 mjengoni huku nikifaidika kwa yale mnayopost, mpaka pale ambapo sasa nimechoka kukaa mafichoni, kuogopa kupost na sasa naanza rasmi si kwa kupokea tu bali kwa mimi kutoa pia!
naomba uzoefu wenu katika ukombozi huuuuu mhim

Naanza kuchangia kwamba inalazimika JK aonekane n m2 wa2 kama ilivyotafsiriwa katika pic hizo kwa kuwa:
1. Ameungana na watu hao katika jambo linalowakutanisha katika hisia zao moja na kwamba wanafurahia kuwa kumbe na yeye yumo ktk katika mambo hayo!!! mambo yetu yaleeeeeee!!
2. Kuna wa2 wengine wangependa wauze sura kwa kusalimiana naye, kuwakaribu naye au vinginevyo iwe kwa positive au negative reasons, wachukue au wachukilwe pic, c unajua eeeh
3. Wengine wanaapply unafiki kama ambavyo yeye na wana CCM wengine huufanya dhidi ya waTZ kwamba wanawapenda na kuwajali kumbe ni kinyume chake; nao wanajificha nyuma ya matusi na dharau wanazomfanyia yeye binafsi na serikali yake in his absence ili yamkini asiwachukilie sheria; kwa kuwa una mamlaka hizo whether ni halali au haramu
4. Lakini kuna wa2 kiukweli wanampenda kwa sura yake nzuri, tabasam lake, dini yake, upole wake, kabila lake, style na mapigo yake ya utozi kama kwenda mamtoni daily, viwanja nk. wengine wanamuona ni m2 wa wa2 kwakuwa ni mwana CCM na rais basi 2
5. sababu zaweza kuwa nyingi zaid ya hizoooooooooooo............

aksanteni wanapatriots
 
Neno "Kumbe JK bado Mtu wa Watu!, na alama ya kushangaa inamaanisha kuwa JK alikuwa mtu wa watu halafu akaacha kuwa mtu wa watu, sasa leo wewe ndio unashangaa kuwa kumbe bado ni mtu wa watu!.

Eti kuna wakati ulianza kuamini JK sii kipenzi cha watu ila leo ndio umeamini kuwa ndie mwanasiasa pendwa kuliko wote kwa wapiga kura!. Kama alianzia over 82 % ile 2005 kutokana na kupendwa zaidi akapata 64% 2010, nashauri kwa jinsi tunavyompenda, tuondoe kile kipengele cha two terms kwenye katiba mpya 2015 tumpe kipindi cha tatu!.

Kiukweli jf tuna members wa kila aina, miongoni mwao ni hawa wa "kujikomba komba type"!. Siku zote JK amekuwa mtu wa watu mwanzo mwisho na hakuna kipindi au wakati wowote amewahi kuwa sio mtu wa watu!. Sasa hii kumbe yako ya leo inatokea wapi zaidi ya kujikomba komba tuu!.

Uzoefu unainyesha wanaopenda kujikomba komba ndio wenyewe kwa kujikanyaga kanyaga mara " watu wengi humu wanamuongelea vibaya" mara "ni kikundi cha watu wachache wanapotosha wengine kwa malengo maalum", which is which ili mradi full kujikomba tuu!.

Ila sio siri kujikomba komba kwa CCM kunalipa!. Tukipata wana jf wengine 10 tuu kama wewe, mbona jf itapendeza sana!.

Keep it up!.

Bahati mbaya sana mimi sio mwandishi wa habari kama wewe,alama ya kushangaa ni kukishangaa hicho kikundi kidogo kinachopotosha ukweli halisi ulivyo,naamini unaelewa ila umeamua kujitoa akili makusudi,sishangai kwa kuwa ni aghalabu kwako.

Nilianza kuamini kutokakana na propaganda ya makusudi ya hilo genge humu ndani linavyokazana kutuaminisha hivyo kwa kuhubiri kila siku maneno hayo hayo hayo mpaka yanaonekana kama kweli.

Kupungua 82% - 64% sababu zake mbona ziliwekwa wazi na jopo la wataalam wa ccm kwamba ufisadi ma mafisadi(ROSTAM na LOWASSA)ndio waliokigharimu chama,hili nalo unalijua,lakini uko katika muendelezo uleule wa kujitoa akili na kujifanya eti ufahamu,kiufupi hao jamaa zako ni mzigo kwa chama.

Kjikomba type,hii inawezekana ni kweli lakini bora mimi najikomba kwa taasisi kuliko wanaojikomba kwa lowassa na familia yake kisa njaa ya maendeleo ya haraka uwe kama fulani na fulani.

Siku zote jk amekua mtu wa watu,je umewahi kujiuliza kwa nini au wewe uko busy monduli tu?
 
Kutokana na ambayo nimekua nikiyasoma humu kuna wakati nilianza kuhisi labda JK Si kipenzi cha watanzania wengi tena,hii ni kutokana na watu walio wengi humu kumuongelea vibaya,leo nimejiridhisha kwamba kumbe na kakikundi ka watu wachache tu ndiko kanakopotosha watu humu kwa sababu maalum,lakini huko "site" jk anaonekana kuwa mwanasiasa pendwa pengine kuliko yeyote yule na wapiga kura.........!

Kumbe jk bado mtu wa watu hili utaweza tu kuliona kama wewe ni katika wale wanaoamini wanachokiona na si kuona kile tu wanachokiamini wao!

Nawasilisha kimtindo!

if I may ask, do you have an idea of what the inside of a class room look like?. Para ya kwanza na ya pili vinapingana... Wanaomsema vibaya JK (kama unavyodai) huwa wanasema nini kibaya juu ya yake? Je kutokwenda misibani au? Vp picha za JK msibani kwa SK zinahusiana vpi na agenda JK kuwa mtu wa watu au kutokuwa mtu wa watu? Kwa uelewa ulionyesha hapo juu sidhani kama unaweza ku-comprehend haya nilioandika sorry.
 
Kwenye lile jukwaa la celebrities, chit chat, JK ni maarufu sana ila jukwaa la siasa ndo balaa. he doesn't fit.
JK ni RAISI WA SHEREHE NA MISIBA na huko ana umaarufu wa kupindukia

sherehe na misiba ya wapiga kura sio?ok poa,umesomeka
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom