Kumbe James Mbatia ni Civil Engineer? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe James Mbatia ni Civil Engineer?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by King Kong III, Dec 22, 2011.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ametamka leo channel 5,kwamba ameipractise kwa mara ya kwanza katika kipindi cha mafuriko dar

  Huyu Jamaa si alifukuzwa UDSM au hiyo Degree kaichukulia upendo training center?

  Source:EATV-Tinga namba 1 kwa Vijana(No 1 Youth channel)


   
 2. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Nachojua mimi Mbatia ni Engineer wa Maji ila hatambuliwi na bodi kwani hajawahi kufanya kazi hiyo!Labda kama ameanza na mafusilo
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,312
  Likes Received: 5,599
  Trophy Points: 280
  Hakumaliza pandikizi hilo.......ila ukute ana vyeti vyote sawa na waliomaliza sawia!!!ana kazi mbili huyo !!!acheni tu!!Kafulila sio train hilo ni siasa kaka!!tulizana
   
 4. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mtu yoyote akimaliza Engineering lazima asajiliwe hebu muulize Mbatia kama amaesajiliwa?Huyo hatambuliki hapa Tz !
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Si kuna kipindi alienda kusoma nje? Au mmesahau?
   
 6. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Usiku huu kuna jamaa alileta thread hapa kuwa anaongea usiku huu Mlimani Tv !vipi kaongea?
   
 7. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Wakati anakwenda aliaga anakwenda kusoma aliporudi
  hakusema amemaliza masomo masomo
   
 8. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Engineer yoyote akimaliza masomo nje ya nch lazima ujeTZ UJISAJIRI KWA KUFANYA ENTERISHIP NA KUSAJILIWA HAPA NA KUPEWA NAMBA!MBATIA
   
 9. MD24

  MD24 JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  hacha akili za kipumbavu, huwezi kuwa registered engineer without practice! Una akili kama za magamba!
   
 10. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #10
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Wewe ndiye hata hujui ,kuna ngazi mbalimbali za usajili
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hajaongea kabisa alikua channel 5 na mkuu wa usalama barabarani
   
 12. Mchambuzi

  Mchambuzi JF-Expert Member

  #12
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 24, 2007
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,128
  Trophy Points: 280
  He has a degree in engineering from either Netherlands, Denmark or Norway;
   
 13. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #13
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,030
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Alienda kenya baada ya kufukuzwa kama sijasahau
   
 14. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #14
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Alisoma sweden au kati ya nchi za scandinavia
   
 15. mchapa shughuli

  mchapa shughuli JF-Expert Member

  #15
  Dec 22, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 524
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 80
  kasoma uholanzi,civil engneering
   
 16. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #16
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,748
  Trophy Points: 280
  asee jf is never boring
  ! Upendo trainig center
   
 17. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #17
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,722
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Hivi master j wa mj records kasajiliwa?hv anapractice?
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280

  Haaaaa neno,Master J ni Sound Engineer wadau vp kasajiliwa ERB?
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hapo wanatoa hadi Adivance Diploma kwa wiki mbili,usikute naye kapiga hapo
   
 20. Kipilipili

  Kipilipili JF-Expert Member

  #20
  Dec 23, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 2,202
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  hebu wale wadau wa chama chake waiweke cv yake hapa,mana naona wadau mnabahatisha tu kama waganga wa kienyeji,ila fahamuni kitu kimoja ambacho kwa msomi na mtu muelewa anatakiwa kukifanya.huwezi kumtuhumu mtu kwa namna yoyote iwayo kama huna ushahidi usio na chembe ya shaka.lets be realistic,tuache majungu,mwenye data za uhakika azishushe hapa ili kieleweke.
   
Loading...