Kumbe James Mbatia ni Civil Engineer?

Also you engineers here in jf, tuambieni kuhusu suala la registration of engineers......master j naye si anapractice kaz yake so yupo registered na board of engineers or not? From there tutapata pa kuanzia.
 
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia, hupenda kujiita ni engineer. Lakini elimu yake ina utata na haioneshi kama ana degree ya engineering. Labda wataalamu wa Engineers Registration Board (ERB) watushauri kuhusu vigezo vya mtu kuitwa engineer. Maana Mbatia alisoma engineering UDSM halafu hakumaliza degree yake. Pia CV yake inaonesha alisoma diploma chuo kimoja cha Uholanzi na kozi nyingine tena chuo hicho kwa miaka miwili tu. Je, mtu ukiwa na cheti na ukasoma kozi ya miaka miwili tu unastahili kuitwa engineer? Tena CV yake haioneshi uzoefu wowote wa kufanya kazi za uhandisi!


Member of Parliament CV

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
First Name: Eng. James
Middle Name:Francis
Last Name:Mbatia
Member Type:Nominated by the President
Constituent:Kuteuliwa
Political Party:NCCR-MAGEUZI
Office Location:Dar es Salaam
Office Phone: +255222862238
Ext.:
Office Fax: +255222862238
Office E-mail: jmbatia@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 10 June 1964
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
University of Hanze-Netherlands
Civil Engineering In Built Environment2007
2009GRADUATE
University of Hanze-NetherlandsInternational Civil Engineering Management20072009DIPLOMA
University of Hanze-NetherlandsBasic Elements of Safety and Health20082008CERTIFICATE
Tambaza Secondary,Dar es Salaam"A" Level19841986HIGH SCHOOL
Kilimanjaro Boys, Kilimanjaro"O" Level19801983SECONDARY
Iwa-Kirua Vunjo,MoshiPrimary Education19731979PRIMARY
University Of Dar es SalaamCivil Engineering19871992NOT COMPLETED
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
NCCR-MageuziNational Chairman2000todate
NCCR-MageuziSecretary Department of Organization and Election19942000
NCCR-MageuziNational youth chairman19921994
PUBLICATIONS
DescriptionDate
Giza au Nuru "Mifumo Ya Elimu Inayojali UTU" printed by Colour Print Dar Es Salaam.2008
 
Hii kweli kali.Hata sisi maengineer tunaishangaa hii.Ngija wanaojua zaidi kuhusu huyu mtu labda anayo
 
Kwa mujibu wa Engineers Registration Board (ERB):

It is ILLEGAL to practice engineering if not registered with the Board.
(2) It is ILLEGAL to employ unregistered engineers.
(3) It is ILLEGAL to offer engineering consultancy services if the Engineer or the Firm is not registered as Consulting Engineer or Engineering Consulting Firm respectively.

Hebu waandishi wa habari fuatilieni hii. Kwa nini James Mbatie ajiite "Engineer" kama hana taaluma hiyo, uzoefu huo na hajasajiliwa na ERB kwa kuwa hana vigezo?
 
Kwa mujibu wa Engineers Registration Board (ERB):

It is ILLEGAL to practice engineering if not registered with the Board.
(2) It is ILLEGAL to employ unregistered engineers.
(3) It is ILLEGAL to offer engineering consultancy services if the Engineer or the Firm is not registered as Consulting Engineer or Engineering Consulting Firm respectively.

UKAWA wamezoea vitu illegal.Sio ajabu kuona Mbatia anajiita injinia wakati siyo.ukiwauliza utasikia sheria ya mainjinia ilipitishwa na ma-CCM.Hawajali sheria wala mahakama wala taaluma.
 
Mnaacha kujadili namna ya kuishinda ukawa 2015, mnajadili elimu ya Mwanaukawa mmoja???

wake up guys!! :-!:-!:-!:-!
 
... Je, mtu ukiwa na cheti na ukasoma kozi ya miaka miwili tu unastahili kuitwa engineer? Tena CV yake haioneshi uzoefu wowote wa kufanya kazi za uhandisi!
...
Ukianza kusoma January, 2007 na ukamaliza kusoma November, 2009, hiyo ni miaka mitatu na sio miwili. Hapa Tanzania, hata DIT ambao ni wadau wakubwa wa ERB wanatoa degree za Engineering kwa miaka mitatu kwa kuzingatia background ya wanafunzi wanaojiunga na bachelors' degree ya Engineering, ambao wengi kama sio wote wanakuwa wamepitia either FTC (zamani) au Ordinary Diploma (siku hizi) ambayo ni programme ya miaka mitatu. Na katika safari ya miaka mitatu ya degree yako, iwapo utaishia mwaka wa kwanza, utapewa cheti cha NTA ya level husika, na iwapo pia utaishia mwaka wa pili, utapewa pia cheti cha NTA ya level husika (ambayo ni Higher National Diploma).

Sasa kulikuwapo umuhimu kwako kufanya utafiti katika degree yake kabla haujaiita magumashi, isije ikawa kumbe uelewa wako wa mambo ya awards ndio magumashi
 
Nijuavyo mimi James Mbatia alisoma Civil Engineering Udsm kabla ya kutimuliwa akiwa mwaka wa 3. Kuna chuo fulani Uholanzi kilimpa offer ya kwenda kumalizia degree yake, na nina uhakika alimaliza na kufaulu. Kama mtu amesoma engineering kwa kiwango hicho kwa ni asijiite Engineer?
 
Mtu yoyote akimaliza Engineering lazima asajiliwe hebu muulize Mbatia kama amaesajiliwa?Huyo hatambuliki hapa Tz !

wewe ni injinia? unajibu upuuzi huu. si kweli hata kidogo kusema kila anaemaliza uinjinia lazima asajiliwe.

kujisajili ERB ni option na hawasajili tu kisa umemaliza kusoma uhandisi. wanafundisha na kutioa mtihani na ukifaulu unaruhusiwa kujiunga Engineering Registration Board. na hili halikufanyi uitwe Engineer.

kinachokufanya uitwe injia ni masomo ya ubandisi.

ukisoma na kufalu ukahitimu hata kwa kiwango cha mwisho wewe ni injinia kamili.

ERB ni kama chama kinachojumuisha wahandisi na mashariti yao hasa yanahusu kupewa tenda kwa mbalimbali za mambo ya kandarasi.

lakini hizo ni taratibu zimeanzishwa kwa lengo si kufanya watu waitwe wahandisi.

ni sawa na wanasheria . ukimaliza law wewe ni mwanasheria hata kama haupo TLS.
 
Kwa mujibu wa Engineers Registration Board (ERB):

It is ILLEGAL to practice engineering if not registered with the Board.
(2) It is ILLEGAL to employ unregistered engineers.
(3) It is ILLEGAL to offer engineering consultancy services if the Engineer or the Firm is not registered as Consulting Engineer or Engineering Consulting Firm respectively.

Hebu waandishi wa habari fuatilieni hii. Kwa nini James Mbatie ajiite "Engineer" kama hana taaluma hiyo, uzoefu huo na hajasajiliwa na ERB kwa kuwa hana vigezo?

Mkuu mbona unaangalia pafupi? Unataka kuniambia engineers wanaokuja hapa Tanzania na makampuni yao hata individuals lazima wawe registered na hilo lichama lenu la ajabu? Je hawa jamaa wanao unga elimu zau hapo Tanzania na wanakwenda kufanya registration ndio mnawatambua eti? Haya mkuu mimi nina degree yangu si ya kuunga toka Ujerumani mbona ninadunda hapo kwenu bila registration? Na waambie hao jamaa yenu waniulize kuwa kwa nini ........ .Mtu anapractice katika makampuni ya kijerumani nk eti lazima udhibitiwe na hicho chama chenu!! Haya endelea na ufisadi wenu kwani tunawajua waunga vyeti halafu eti ni registered!!
 
ana ile taaluma nyingine ambayo imehalalishwa na anglikana..
mkitaka kujua vizuri mnaweza kumuuliza sebastian yusuph(SEBA) WA MSASANI MAANDAZI ROAD.
 
UKAWA wamezoea vitu illegal.Sio ajabu kuona Mbatia anajiita injinia wakati siyo.ukiwauliza utasikia sheria ya mainjinia ilipitishwa na ma-CCM.Hawajali sheria wala mahakama wala taaluma.

tatizo hata kiingereza hujui, hayo ulitoa ni mashariti kwa mainjia kupewa kazi. na wamesema ni marufuku kwa mainjinia wasio na usajili kupewa kandarasi ama miradi. HATA ERB WANAJUA KUNA MAINJIA HAWAJASAJILIWA . TATIZO SIYO KUITWA INJIA MAANA UINJINIA UNAPATIKANA UKISHAHITIMU TU. hayo ni mashariti ya kupewa kazi na siyo mshariti ya kuitwa injinia. kama mbatia angekuwa amepewa tenda huku hajasajiliwa ERB ndio lingekuwa kosa. LAKINI KUSEMA YEYE NI INJIA YUKO SAHIHI MAANA KUITWA INJINIA NI TAALUMA. HATA UKIWA NA CERTIFICATE YA ENGINEERING WEWE NI ENGINEER. SASA MBATIA ANA DIPLOMA YA ENGINEERING.
 
Naomba kujuwa je MTU akisajiliwa tu ndiyo inatosha kuitwa engineer?

na mimi naomba kuuliza je akisajiliwa anatakiwa kuatangaza TBCCM,ITV,VOA,BBC,UBC, TBCFM,RADIONE,DAILY NEWS,NIPASHE, JAMBO LEO,HABARI LEO,MAJIRA,UHURU,FACEBOOK,TWITTER,WHATSUP,INSTAGRAM,KWENYE VIWANJA VYA JANGWANI NA BIAFRA, MSIKITI WA MTAMBANI,KANISA LA KATILIKI, AZANIA FRONT NA KUWAPIGIA SIMU WATANZANIA WOTE KWAMBA AMESAJILIWA?? Na vipi yule prof wa kichina??
 
Mh. Stella Manyanya amekuwa akitumia jina la Engineer Stella Manyanya muda mrefu lakini amepata usajili wa bodi ya Uhandisi mwaka huu kama registered engineer and that is the same thing kwa Mbatia since he is a graduate engineer ana haki ya kujiita engineer coz ndo fani aliyohitimu
 
Mastet jay ni proffessional sound engineer. na ana mchango mkubwa sana nchi kwa kuwainua vijana wengi for more than 15 yrs kwenye game ya nziki na huu ni mchango mkubwa kuliko hata mkurugenzi wa erp na washenz wengine..

je master jay amesajiliwa na ERB
 
Back
Top Bottom