Kumbe James Mbatia ni Civil Engineer?

Yaan kwa kweli UKAWA inawapa shida sana vjana wa lumumba....nyie anzeni kubeba vya kwenu msepe mapema soon mnakuwa wapinzani
 
Nijuavyo mimi James Mbatia alisoma Civil Engineering Udsm kabla ya kutimuliwa akiwa mwaka wa 3. Kuna chuo fulani Uholanzi kilimpa offer ya kwenda kumalizia degree yake, na nina uhakika alimaliza na kufaulu. Kama mtu amesoma engineering kwa kiwango hicho kwa ni asijiite Engineer?
Mkuu huruhusiwi kujiita Engineer kama hujasajiliwa na Engineers Registration Board (ERB) na ni ILLEGAL
 
Maccm bwana wakati anamuunga mkono kikwete alikuwa mtu mzuri sasa amejiunga ukawa mnamwita shoga, mnasahau kuwa ubunge alinao kapewa na kikwete
 
Hajasoma ili aajiriwe na serikali ya kifisadi ya TZ. Alisoma ili aelimike na kusoma siyo lazima miaka miiiiingi mliyokariri hapo nchini kwenu.
Huku wazungu wanasoma kupata knolage na kuweza kuitumia hiyo skill na siyo kumaliza miaka kama huko kwenu.
Mmekariri mifumo isiyonufaisha taifa vijana mnasoooooma miaka kibao lakini skills hamna eti mwajidai kujibu mitihani migum ndio usomi!

Niujinga mmekaririshwa na wakufunzi wa enzi za ukoloni wasiopenda wasomi muwe wengi ili msiwazidi ndio maana wana haki ya kuwaferisha na hamna haki ya kuwashitaki maana elimu yenu niya kikoroni.

Hata kama kasoma wiki mbili na akafanya vizuri kulingana na vipimo vya mkufunzi na chuo husika cha kimataifa basi ni msomi.
Wanafanya nini wasomi wenzenu waliosajiriwa nchini? Jiji lenu chafu halina mpangilio mzuri wa kisomi, mitaro imeziba imeelekezwa vilimani, vichochoro hakuna kiasi kwamba hata Ambulance haiwezi kufika mlango wa kila nyumba kama itahitajika kufanya hivyo.
Miji imekaa kijiiiinga utadhani ni kijijini halafu wasomi wenu wanajidai wawajibikaji kwa kuvunja nyumba za watu waliojijengea bila miongozo ya wasomi waliosajiriwa.

Hamjaelimika bado.
Mwacheni aliyesoma kuelimika Mr. Mbatia
 
Mkuu huruhusiwi kujiita Engineer kama hujasajiliwa na Engineers Registration Board (ERB) na ni ILLEGAL

kweli tuna watu zaidi ya wajinga nchi hii. na wewe ni injinia? hebu weka hapa hicho kipengele cha ERB. watu wengine mmejaa ujinga unaoshinda ujinga wa mbwia unga .
 
Mh. Stella Manyanya amekuwa akitumia jina la Engineer Stella Manyanya muda mrefu lakini amepata usajili wa bodi ya Uhandisi mwaka huu kama registered engineer and that is the same thing kwa Mbatia since he is a graduate engineer ana haki ya kujiita engineer coz ndo fani aliyohitimu

watu ni wajinga sana. wanafikiri uinjinia unapatikana ERB. kumbe uinjinia unapatikana darasani.
 
kweli tuna watu zaidi ya wajinga nchi hii. na wewe ni injinia? hebu weka hapa hicho kipengele cha ERB. watu wengine mmejaa ujinga unaosbinda ujinga wa mbwia unga .

MKUU USITUKANE MTU USIYEMJUA MTANDAONI....Baada ya hapo soma hapa

The Engineers Registration Board is a statutory body established under the Engineers Registration Act, No. 15 of 1997. The Board has been given the responsibility of monitoring and regulating engineering activities and the conduct of the engineers and engineering consulting firms in Tanzania. through registration of engineers and engineering consulting firms. Under the law, it is illegal for an engineer or an engineering firm to practice the profession if not registered with the Board.The Board has also been given legal powers and has the obligation to withdraw the right to practice from registered engineers if found guilt of professional misconduct or professional incompetence. Registration with the Board is, thus, a license to practice engineering in Tanzania.

Kwahiyo usijiite Engineer kama hujasajiliwa na ERB na kama hujawai kufanya kazi.......................

ACHA SIASA ZA KIJINGA KWENYE VITU VYA MSINGI
 
hacha akili za kipumbavu, huwezi kuwa registered engineer without practice! Una akili kama za magamba!

mkuu haihitaji practice ili uwe registered. wanachofanya ni kutoa mtihani na ukifaulu ndio wanakusajili. lakini pia wanafundisha kwanza hao wanaotaka kusajiliwa ila si lazima kuhudhuria mafunzo kama unaweza kufaulu mtihani maana maswali unayoulizwa ni ya kozi ulizosoma kwenye fani yako. hapo ni sawa tu na law school kwa wanasheria. japo wao kusoma ni lazima.
 
MKUU USITUKANE MTU USIYEMJUA MTANDAONI....Baada ya hapo soma hapa

The Engineers Registration Board is a statutory body established under the Engineers Registration Act, No. 15 of 1997. The Board has been given the responsibility of monitoring and regulating engineering activities and the conduct of the engineers and engineering consulting firms in Tanzania. through registration of engineers and engineering consulting firms. Under the law, it is illegal for an engineer or an engineering firm to practice the profession if not registered with the Board.The Board has also been given legal powers and has the obligation to withdraw the right to practice from registered engineers if found guilt of professional misconduct or professional incompetence. Registration with the Board is, thus, a license to practice engineering in Tanzania.

Kwahiyo usijiite Engineer kama hujasajiliwa na ERB na kama hujawai kufanya kazi.......................

ACHA SIASA ZA KIJINGA KWENYE VITU VYA MSINGI

ndio maan nimesema, we have silly people who clame to know at their ignorance.

hapa tatizo nimegundua ni kiingereza ndio kinakusumbua maana hujaelewa chochote kwenye maandishi haya.

nilikuwa na haki kusema umejaa ujinga unaovuka kiwango cha mbwia unga aka teja.

hakuna mahali popote palipoandikwa kuwa hupaswi kujiita injia kabla hujasaliwa na hakuna kipengele hicho na Hakijawahi kuwepo katika taifa lolote duniani.

kwa nini nisikuite una kiwango cha kutosha cha ujinga.

eti nisimtukane mtu nisiyemjua, sihitaji kukujua maadamu nilishajua ujinga wako ndio tatizo.

haya maelezo yote yanaeleza mashariti ya kufanya kazi za kiinjinia kuwa ni sharti uwe imesajiliwa na board.

hili nilikuwa najua miaka yote na ukirejea majibu yangu nimetoa humuhumu nikawaambia injinia ni mtu yeyote aliyehitimu masomo ya uhandisi iwe kwa ngazi ya certificate,diploma ama degree na zaidi.

katafute ushahidi mwingine.

narudia tena hakuna sharti linalosema mtu hawezi kuitwa engineer mpaka asajiliwe.

na kama hutakuwa umeelewa majibu haya. nitatoa tafsiri ya sheria hii kwa lugha ya kiswahili ili uelewe na uzuri humu wapo watu wengi wenye uelewa maana tatizo kwako ni kimombo kilipita pembeni
 
Ametamka leo channel 5,kwamba ameipractise kwa mara ya kwanza katika kipindi cha mafuriko dar

Huyu Jamaa si alifukuzwa UDSM au hiyo Degree kaichukulia upendo training center?

Source:EATV-Tinga namba 1 kwa Vijana(No 1 Youth channel)

huyu bwabwa tu .waliosoma naye waje hapa waseme
 
Engineer - anyone who can design, implement and maintain a system.

Sasa kwenye issue ya registered or not hapo nawaachia ERB
 
Kwa mujibu wa Engineers Registration Board (ERB):

It is ILLEGAL to practice engineering if not registered with the Board.
(2) It is ILLEGAL to employ unregistered engineers.
(3) It is ILLEGAL to offer engineering consultancy services if the Engineer or the Firm is not registered as Consulting Engineer or Engineering Consulting Firm respectively.

Hebu waandishi wa habari fuatilieni hii. Kwa nini James Mbatie ajiite "Engineer" kama hana taaluma hiyo, uzoefu huo na hajasajiliwa na ERB kwa kuwa hana vigezo?

Sheria ya Engineers Registration Board (ERB) haizuii mtu kujiita engineer. Inazuia mtu kufanya kazi kama engineer na sio mtu kujiita engineer.
 
MKUU USITUKANE MTU USIYEMJUA MTANDAONI....Baada ya hapo soma hapa

The Engineers Registration Board is a statutory body established under the Engineers Registration Act, No. 15 of 1997. The Board has been given the responsibility of monitoring and regulating engineering activities and the conduct of the engineers and engineering consulting firms in Tanzania. through registration of engineers and engineering consulting firms. Under the law, it is illegal for an engineer or an engineering firm to practice the profession if not registered with the Board.The Board has also been given legal powers and has the obligation to withdraw the right to practice from registered engineers if found guilt of professional misconduct or professional incompetence. Registration with the Board is, thus, a license to practice engineering in Tanzania.

Kwahiyo usijiite Engineer kama hujasajiliwa na ERB na kama hujawai kufanya kazi.......................

ACHA SIASA ZA KIJINGA KWENYE VITU VYA MSINGI

Mkuu kama kweli wewe Ni engineer basi wewe Ni jinga na janga hapa nchini. Umewezaje Ku-attach hii kitu hapa na bado ukashindwa kusoma? Samahani Sana mkuu wewe jinga.
 
Engineer - anyone who can design, implement and maintain a system.

Sasa kwenye issue ya registered or not hapo nawaachia ERB

tatizo mijitu humu haina akili. na wala sishangai mtu aliyefanya utafiti akasema tanzania ni miongoni mwa nchi kumi duniani ambapo watu wake wanaongoza kwa kuwa na uwezo kidogo sana wa kufikiria.

nimeshangaa mpaka midugwasha inakuja na kujidai yenyewe ni injia lakini yanaeleza utumbo. kama hao ndo mainjia wa nchi hii. sishangai kwa nini nchi haiwezi kutengeneza hata stick.

INJINIA HALISI NI KAMA MAELEZO HAYA ULIYOYALETA.

katika profesion injinia ni yeyote aliyesoma na kuhitimu fani yoyote ya uinjinia hata kama ana certicate,ama diploma ama degree.

kuna lidugwasha limekimbilia kuleta sheria mwisho limeabika japo halionekani.

hata sheria zote za ERB hazikatazi mtu kuitwa injia kabla hajasajiliwa maana wanajua.

na ndio maana wao wanasema kuna REGISTERED ENGINEER and UNREGISTERED ENGINEER. kwamba kuna mainjia waliopata usaliji na wale ambao hawana usajilu.

LAKINI HAO WOTE NI MA-ENGINEER.
KAZI TUNAYO KWA AINA YA WATU TULIONAO.
 
Kwa mujibu wa Engineers Registration Board (ERB):

It is ILLEGAL to practice engineering if not registered with the Board.
(2) It is ILLEGAL to employ unregistered engineers.
(3) It is ILLEGAL to offer engineering consultancy services if the Engineer or the Firm is not registered as Consulting Engineer or Engineering Consulting Firm respectively.

Hebu waandishi wa habari fuatilieni hii. Kwa nini James Mbatie ajiite "Engineer" kama hana taaluma hiyo, uzoefu huo na hajasajiliwa na ERB kwa kuwa hana vigezo?

du tatizo lako ni lugha hujui hivyo tunakusamehe
 
Back
Top Bottom