Gsana
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 4,383
- 1,321
tatizo hata kiingereza hujui, hayo ulitoa ni mashariti kwa mainjia kupewa kazi. na wamesema ni marufuku kwa mainjinia wasio na usajili kupewa kandarasi ama miradi. HATA ERB WANAJUA KUNA MAINJIA HAWAJASAJILIWA . TATIZO SIYO KUITWA INJIA MAANA UINJINIA UNAPATIKANA UKISHAHITIMU TU. hayo ni mashariti ya kupewa kazi na siyo mshariti ya kuitwa injinia. kama mbatia angekuwa amepewa tenda huku hajasajiliwa ERB ndio lingekuwa kosa. LAKINI KUSEMA YEYE NI INJIA YUKO SAHIHI MAANA KUITWA INJINIA NI TAALUMA. HATA UKIWA NA CERTIFICATE YA ENGINEERING WEWE NI ENGINEER. SASA MBATIA ANA DIPLOMA YA ENGINEERING.
Mkuu Nina wasi wasi unawaelimisha walemavu WA akili awa, utatumia muda wako bure kuelimisha wasiojielewa!! Ndio viongozi hawa hata hawajui ilo!! Wapo wengi tu wanadhani kuwa injinia lazma uandikishe, kuwa mhasibu lazima uwe CPA (T) kuwa auditor lazma use mhasibu,, kuwa mwanasheria lazma uwe TLS au law school graduate.... Ili jukumu la kuelimisha vilaza tunakuachia we maana hawataki kusoma wanavizia elimu ya bure APA jf!!