Kama nyoka au nani mkuu?
kakakuona
Ndo unanipoteza kabisa, ok tuanzie hapo kakakuona ndio yupi?
kakakuona
ee! Hebu kabla sijaanza kukueleza nikuulize vp unamiaka mingap?
Ndo unanipoteza kabisa, ok tuanzie hapo kakakuona ndio yupi?
ni mnyama anapatkana kwenye hifadhi za taifa. Kama umewahi kusikia kuwa kuna mnyama anayetabir mambo ndio huyo....... Yeye hutokea mara chache sana ktk makaz ya watu na akitoke watu wanamuwekea vitu mbali mbali kama maji, nafaka, kisu na vingne vingi. Basi akigusa kimojawapo kwamfano akinywa maji watu huamin mvua zitakuwa nyingi, au akigusa kitu wanaamin vita itatokea
Mtanzania wa wapi ujui kakakuona hata ujasikia kwa mababu zako??35......
Mtanzania wa wapi ujui kakakuona hata ujasikia kwa mababu zako??
Sasa umemujua au bado tukupeleke gombe?Mtu asubuhi haongopi, nilikua simjui
Sasa umemujua au bado tukupeleke gombe?
Nishamjua vizuri sana
mm naamin ulikuwa unamjua ila hang over za viroba na valuu + bange ulikuwa hujamtambua vizr macho hayakuona au ww unasemaje....... Teh teh teh!
Kama nyoka au nani mkuu?