mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,496
mimi nahisi ipo haja ya kumpelekea karatasi ya serekali mbili na tatu ili atutabirie
Mtu asubuhi haongopi, nilikua simjui
Mtanzania wa wapi ujui kakakuona hata ujasikia kwa mababu zako??
kila kitu ambacho kinapatikana kwa uchache eti ni dawa mara ya kansa mara ya utajiri mara ya mapenzi....... da watanganyika tubadilike jamani katka hili na ndo sababu hata albino walitafutwa kuliko pesa zenyewe..huyo ni mnyama kama wengine mambo ya matibabu hizo ni imani tu za watu