OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,128
- 24,065
Weee umesikia wap mkuuHivi ni kweli kwamba ndo chombo ya Sam Misago?
Weee umesikia wap mkuuHivi ni kweli kwamba ndo chombo ya Sam Misago?
Yeah imetoa vichwa vyingi Sana sidhani Kama watakumbuka radio iliyowatoa.Ila radio 5 Arusha imetoa vipaji vingi Sana aiseeee hebu hawa wakifanikiwa wawakumbuke hawa waajiri wao WA zaman radio 5 maana imewatoa saana
Hao na wakifka clouds hapo ndo huaYeah imetoa vichwa vyingi Sana sidhani Kama watakumbuka radio iliyowatoa.
Mbona mzuri tu hana shidaMhhh ana sura ngumuu!!!!
Ana mtt huyo tayr mweny umri kati 1 - 3 (miaka) kama sikoseihio ngoz yake imenawiri sana tayari kupokea mimba!! homoni za kike zinazalishwa kwa wingi.. lkn kwa wana wa daslam as usual wanalipuuzia kama hawaoni!!
Ukiweka sauce aumweeh! mtoto ana lips tam huyu!
Oops!Mhhh ana sura ngumuu!!!!
Ulipiga nini kaka?Nishapiga hapa
Hivi yule demu yuko wapi siku hizi?Mtafute na yule Faiza a.k.a baby mama alikuwa mtangazaji wa 5select ya Eatv alikuwa anatangaza na Tbway 360..katoto flani kama halfcast ka kiarabu...uniwekee picha yake na nijue kwa sasa yuko wapi.
Sijui..mimi mwenyewe ningependa kujua kako wapi kale katoto.Hivi yule demu yuko wapi siku hizi?
Baba Mzaramo, Mama MndengerekoSijui..mimi mwenyewe ningependa kujua kako wapi kale katoto.
Noma sana.Baba Mzaramo, Mama Mndengereko
Mnagegedua Gegedu!!! Haa Teh