Kumbe huyu ndio Mamy Baby wa Clouds FM

Ila radio 5 Arusha imetoa vipaji vingi Sana aiseeee hebu hawa wakifanikiwa wawakumbuke hawa waajiri wao WA zaman radio 5 maana imewatoa saana
Yeah imetoa vichwa vyingi Sana sidhani Kama watakumbuka radio iliyowatoa.
 
hio ngoz yake imenawiri sana tayari kupokea mimba!! homoni za kike zinazalishwa kwa wingi.. lkn kwa wana wa daslam as usual wanalipuuzia kama hawaoni!!
 
hiyo picha ya mwisho ilinistua mpaka nikazoom ndio nikajua aaaah kumbe ni uzi wa jeans.poor me
 
Mtafute na yule Faiza a.k.a baby mama alikuwa mtangazaji wa 5select ya Eatv alikuwa anatangaza na Tbway 360..katoto flani kama halfcast ka kiarabu...uniwekee picha yake na nijue kwa sasa yuko wapi.
 
Mtafute na yule Faiza a.k.a baby mama alikuwa mtangazaji wa 5select ya Eatv alikuwa anatangaza na Tbway 360..katoto flani kama halfcast ka kiarabu...uniwekee picha yake na nijue kwa sasa yuko wapi.
Hivi yule demu yuko wapi siku hizi?
 
Back
Top Bottom