cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 85,683
- 137,423
She is very pretty. Look at her skin.
Itakuw umeona maisha yake hayaendani na wewe sasa unataka kutuletea maneno ya mkosaji.
She is very pretty. Look at her skin.
Itakuw umeona maisha yake hayaendani na wewe sasa unataka kutuletea maneno ya mkosaji.
Kasoro moja tu anafanana na diamond
Na and K tamuWatu wenye lips nene huwa tuna sauti tamu sana
Kuna ubayaKasoro moja tu anafanana na diamond
EwaaaaaNa and K tamu
Ningeshangaa sana kama Mabaharia msingeliona hili mapema.mweeh! mtoto ana lips tam huyu!
Kitu Cha TaboraSi useme tu ukweli unazunguka zunguka nini?
Haa Haa HaaAna midomo minene sana
sura ya baba ake
Sauti Nzuri BhalaaWatu wenye lips nene huwa tuna sauti tamu sana
Na pia mkishika mic 🎤 jukwaani, huwa ni burudani mpaka kuchee!!Watu wenye lips nene huwa tuna sauti tamu sana
Hata vijijini kuna vipodozi. Tena ndio wateja maarufu wa mkorogo na wanjaWanawake og wapo vijijini mjini huwa mnaoa vipodozi sii watu
Ushawahi kulia kwa raha hivyo ndivyo inavyokuwaNa pia mkishika mic 🎤 jukwaani, huwa ni burudani mpaka kuchee!!
Amenenepa sasa hiviHuyu She' saivi ndio kaiva ..kipindi anatangaza radio 5 aise alikuwa msela sana, mapigo za kichalii kabisa halafu kakondaaa ..ila saiv dah atakuwa amenisahau kabisa
Beautiful OnyinyeBeautiful
ApiaWatu wenye lips nene huwa tuna sauti tamu sana
Mungu AnakuonaApia