ismase
Senior Member
- Feb 12, 2010
- 116
- 16
Hotuba ya mheshimiwa JK aliyoitoa kwa wazee wa Dar inasemekana iliandaliwa kimakosa na watendaji wake. kutokana na habari zisizo na uhakika inadaiwa kuwa hotuba hiyo iliandaliwa maalum kwa mh. Yusufu Makamba (katibu wa CCM) kwani ndio mzee anayoaminika kwa mipasho. Lakini katka hali isiyo ya kawaida, watendaji wa mh. Jk walimpatia mh. Rais mipasho hiyo nma kwenda kuitoa kama ilivyo bila yeye kungundua kuwa alichezewa rafu. Hata hivyo inasemekana mwishoni mwa hotuba hiyo, mh. alistuka kuwa ameingizwa mjini, ndipo alipoanza kusema "...tunawapenda sana wafanyakazi...serikali itajitahidi kuongeza mishahara kadiri ya uwezo.."