Kumbe hotuba ya JK ilikuwa ya Makamba

Kumbe hotuba ya JK ilikuwa ya Makamba

JK wasaidizi wake Daima wanayajua mapungufu yake katika kuanalyse data, ile walimuandalia yeye mwenyewe, mapungufu yote ni kwakua yeye sio mtu wamambo makini, wanamchoekea tu...anapoumbuka wao wanatabasam.
kwahiyo hoja ya muungwana juu si kweli. Ile Hotuba iliandaliwa kwa Kiwango chake, uelewa wake na uwezo wake.
 
akili za kuambiwa........................!
 
Back
Top Bottom