Kumbe hili ndio jengo refu kuliko yote Bongo!

Watu wa Dar huwa wananifurahishaga sana, yaani wengi wao wanajifanya kila kona ya jiji wanaijua wakati mimi huku tu nilipo mkoani sehemu kibao za hapa nilipokulia sizijui kivile, mitaa kibao napotea,sasa sijui ndio waonekane wa mjini.
 
Watu wa Dar huwa wananifurahishaga sana,yaani wengi wao wanajifanya kila kona ya jiji wanaijua wakati mimi huku tu nilipo mkoani sehemu kibao za hapa nilipokulia sizijui kivile,mitaa kibao napotea,sasa sijui ndio waonekane wa mjini
Upo kijiji gani? Au kijiji beach?
 
Zamani nakumbuka hilo Eneo lilikuwa la Mzee mmoja tajiri sana wa Kichaga alikuwa na Hardware maeneo ya mwenge nimemsahau jina lake, Akawauzia Agkhan, nao naona wamewauzia PSSSF Kama sijakosea, Ambao ndiyo wenye jengo
 
Bas tuko jirani kbsa mmi Niko app apa mawasiliano nyuma kbsa ya mgahawa wa mtumushi
Mshikaji ana wateja kinoma.
Sema ukibahatika kuzunguka kule nyuma jikoni wanakotunzia mauchafu utaapa KUTOKULA tena pale.

Gari la manispaa likichelewa kuja kubeba mauchafu hadi funza wanasambaa jikoni pote. Pananuka kinoma.

Sema kama ni Wanafunzi wa UDSM basi amewateeka kweli kweli. Naonaga wengine wanatoka hadi kule Magufuli Hostel usiku kuja kununua chipsi.
 
Back
Top Bottom