Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
Imeripotiwa Bungeni kuwa hatuna wataalam wa abirtration serikalini ndio maana serikali inabidi kukodi wataalamu binafsi kutuwakilisha katika kesi nyingi za abirtration na kuwalipa watu mamilioni. Katika Bunge zima ati ni Mhe. Phillip Marmo pekee ndiyo ana cheti kinachomtambua kimataifa..!
Sasa kwanini tusiamue kuomba wataalamu toka Ulaya tu?
Abirtration? ndo nini? nimeikosa hata kwenye dictionary saidia tafadhali kama hutojali sana.
Sasa kama hali ndo hii kwanini serikali isifanye mpango wa makusudi wa kupeleka timu ya vijana wakapate utaalamu nje kama hauwezi patikana nchini ili warejee kulitumikia Taifa?
Viko wapi vipa umbele vya Taifa letu?

Kwanini Ulaya?An arbitrator is an impartial person chosen by the parties to solve a dispute between them, who is vested with the power to make a final determination concerning the issues in controversy.Imeripotiwa Bungeni kuwa hatuna wataalam wa abirtration serikalini ndio maana serikali inabidi kukodi wataalamu binafsi kutuwakilisha katika kesi nyingi za abirtration na kuwalipa watu mamilioni. Katika Bunge zima ati ni Mhe. Phillip Marmo pekee ndiyo ana cheti kinachomtambua kimataifa..!
Sasa kwanini tusiamue kuomba wataalamu toka Ulaya tu?
samahani abirtration ndio nini....Imeripotiwa Bungeni kuwa hatuna wataalam wa abirtration serikalini ndio maana serikali inabidi kukodi wataalamu binafsi kutuwakilisha katika kesi nyingi za abirtration na kuwalipa watu mamilioni. Katika Bunge zima ati ni Mhe. Phillip Marmo pekee ndiyo ana cheti kinachomtambua kimataifa..!
Sasa kwanini tusiamue kuomba wataalamu toka Ulaya tu?
Sasa kama hali ndo hii kwanini serikali isifanye mpango wa makusudi wa kupeleka timu ya vijana wakapate utaalamu nje kama hauwezi patikana nchini ili warejee kulitumikia Taifa?
Viko wapi vipa umbele vya Taifa letu?
Wapeleke vijana halafu hizo pesa za consultation fee ama Arbitration fee watapataje 10% na nina hakika these people don,t come cheap na hata kama wataamua kupeleka watu kupata utaalamu usije ukashangaa kina Kingunge wakawa pale juu kwenye list ya wanaonda kupata hiyo taaluma.
Imeripotiwa Bungeni kuwa hatuna wataalam wa abirtration serikalini ndio maana serikali inabidi kukodi wataalamu binafsi kutuwakilisha katika kesi nyingi za abirtration na kuwalipa watu mamilioni. Katika Bunge zima ati ni Mhe. Phillip Marmo pekee ndiyo ana cheti kinachomtambua kimataifa..!
Sasa kwanini tusiamue kuomba wataalamu toka Ulaya tu?
samahani abirtration ndio nini....